Search results

  1. fugees

    Nataka kuanzisha umoja wa wapangaji Dar es Salaam

    ASANTE WADAU. bado nakusanya ushauri wenu na mawazo yenu pia
  2. fugees

    Nataka kuanzisha umoja wa wapangaji Dar es Salaam

    wadau habari ya mwaka mpya. Nombeni mawazo yenu hapa. Ninataka kuanzisha chama cha umoja wa wapangaji Dar es Salaam(sina uhakika kama kipo kama kipo basi ni mfu na hakina malengo mathubuti). kwanini nimeamua kufanya hivi? kwa sababu zifuatazo:- manyanyaso wanayopata wapangaji toka kwa...
  3. fugees

    Membe, kwa jinsi Kigogo alivyommaliza na kumnyamazisha kabisa Musiba muwahi akulipe kabla hajajinyonga

    kaka madai pia yanafunga. lakini unakua civil prisoner na sio criminal prisoner.
  4. fugees

    Aliyetajwa na Rais kuwa aliingiza Magari 194 ni nani?

    acha ulongo huyoni muarabu wa morogoro tena mwanaccm mwenzetu na Dk magufuri hawezi kumuacha salaama.
  5. fugees

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

    kiazimviringo wa lumumba utamuona tu, kwanza sasa hakuna mahakama kuna huru aachiwe asiachiwe yaleyale tu. magu alisema wataishia jela ko hakuna jipya na ni bora waishie jela tu.
  6. fugees

    UVCCM ina mpango gani na ajira za Ualimu zilizotangazwa?

    BUKU SABA IMEKUFANYA UANDIKE ULICHOANDIKA
  7. fugees

    CHADEMA msimdanganye Tundu Lissu, hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi mkuu!

    NA HUKONYUMA HAKUA HIVYO YAANI WAMESHAMUHARIBU KABISA
  8. fugees

    CHADEMA msimdanganye Tundu Lissu, hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi mkuu!

    huyo ndio mzuri kwa ccm maana mpampiga chini asubuhi bila hata kupiga kampeni kwa hiyo hiyo mni karata yenu sasa ccm. maana kuongea kwa nguvu mpaka unatokwa na haja kubwa bila kujua kisa kumpinga tundulisu huo ni UFWAHILA
  9. fugees

    Magufuli ni Rais muoga haijawahi tokea katika nchi hii

    h HAWEZI KUMSHINDA MABUTU SESESEKO NGWENDU KUKU WA ZABANGA,
  10. fugees

    Kama ni kweli Lissu anaitukana nchi na ashitakiwe tu!

    kwasheria zipi we kiaziwalimumba manina
  11. fugees

    Ni lini Rais Magufuli atafanya ziara Mbeya na Ukerewe?

    jk alipokwa mawe kumbuka
  12. fugees

    Hii combination ya Dr Bashiru, Rostam Aziz, Polepole na Lowassa sijaielewa vizuri!

    ccm ni mbele kwa mbele na ukitaka kuielewa vizuri utaelewa mbele so we panda na uwe mpole kuanza kuhoji hoji ccm ni mwiko tena ukome
  13. fugees

    Bila shaka ni wakati muafaka wa Hussein Bashe kufukuzwa CCM

    upo sahihi sana mkuu maana miiko ya sisiemu ikiwemo kutoongea ukweli hadhalani.
  14. fugees

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    JINALAO NA FAIZA FOX Ndio ccm pekee hapa jukwaani wenye akili ko hata mnapokua mnateleza ni jmbo la kibinadamu tu hivyo basi naungana na wewe kwenye ishu ya lowasa, lowasa ni msafi na alizushiwa tu si ndio wajameni, hata dokta Slaa sasa yupo salama kwenye ulingo wa sasa.
  15. fugees

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    WANASIASA WOTE WATASEMA LOWASA SI FISADI NA MWANASIASA BORA WA KARNE
  16. fugees

    Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke asikitishwa na kitendo cha kufungiwa kwa gazeti la The Citizen

    yaani ukijiona unawasaliti wengi kuliko unaowaita watiifu au wazarendo baji jua fika nyie (wewe) ndio msaliti
  17. fugees

    Tuboreshe hoja ya Nkamia ya kufanya uchaguzi kila baada ya miaka 7

    dah tumbo baya sana sasa mmekuja na hili, unajua ukomomwa watanzania kumvumilia mtu ni miaka mingapi ? gues what ........ 10 yrs ongezeni na jifunzeni kwa nyerere
Back
Top Bottom