Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Kiburi si maungwana
Tumempa ajira ,tunamlipa mshahara,anakula bure,kuvaa,kunya,kulala,kulindwa ,kutembelea gari zuri kwa kodi zetu
Lakini kajawa na kiburi ,anatudharau tunaompa mshahara,anatunyanyasa na kutuona maadui pale tunavyomrekebisha anapokosea
Kila kitu kinachomnufaisha mwana nchi moja kwa moja kaharibu Leo wananchi wanajuta kuzaliwa hapa
Yani mtu mmoja tu atuendeshe watu zaidi ya milioni 55
Mungu Fanya ujuavyo huko mbinguni na popote ulipo utuondolee huyu mtu aende makazi ya milele .
Sigara Kali
Sent using Jamii Forums mobile app