Search results

  1. C

    Vigogo tisa NHIF watumbuliwa

    BENEFITS PACKAGE Introduction The National Health Insurance Fund (NHIF) has an attractive benefits package that is offered to its beneficiaries through accredited health facilities countrywide. This package has a total of eleven (11) benefits that are offered to its beneficiaries as per...
  2. C

    Hongera Magazeti ya Tanzania kwa kuwatendea haki Waislam na Rais Magufuli

    mwananchi na tanzania Daima wameng'ang'ana na siasa tu
  3. C

    Ufafanuzi juu ya Organogold

    Karibu sana katika semina maalum iliyoandaliwa mahususi katika kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu organo gold...njoo uongee na watu waliofanikiwa ujue biashara hii ina misingi gani ya mafanikio. Semina hii itafanyika siku ya kesho tarehe 15/07/2015 maeneo ya posta,hakuna kiingilio ..Kwa yeyote...
  4. C

    Happy Birthday Lowassa

    Happy birth day to u the next president of the URT
  5. C

    Zanzibar hiyooo, Tanganyika kimyaaaa

    duuuh hoja zako zimefungwa na fikra za udini ni kama kile kisa cha watu waliopangoni(an allegory of the cave)..Tanzania itadum daima..huu ni urithi na tnu za taifa,uundwaji wa katiba ni frsa ya kutatua mapungufu ya muungano wetu....tusione haya kuunga mkono fikra sahihi za Nyerere na...
  6. C

    Mkutano mkubwa wa CUF tar 26/03/2014 kudai nchi yao...

    wasisahau kuwa kuna watu wana viapo vya kulinda muungano...kwa nini hawa wanasiasa wanashadidia masuala ya madaraka badala ya kubuni sera za kukuza uchumi na kuboresha huduma za jamii? kwa hili la serikali tatu au muungano wa mkataba ni matokeo ya ubinafsi na chuki tu za kihistoria...
  7. C

    Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    goood,aliestawisha demokrasia nchini.....
  8. C

    Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    safi sana,hawa ndio wazalendo wa kweli
  9. C

    Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

    Mmmmmmh bila Shaka na wewe ni mawakala wa kagame......hakuna utata wowote, ni propaganda ovu dhidi ya Tanzania na rais wetu
  10. C

    Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

    Huyu alieandika no mwongo...Mara anasema alipewa dawa ya sindano,baadae anadema kabla ya kuimeza alisoma maelekezo.......msitukane wakunga...........karma mtu kakosea Luna utaratibu wa kudai khaki yako badala ya kutukana madaktari......hivi unajua akina mama wangapi na watoto wanaokolewa name...
  11. C

    Rais Kikwete arudisha zawadi ya dhahabu

    Kwa hili jk anastahili pongezi..tusiwe negative minded kiasi cha kupinga kila kitu...
  12. C

    Zanzibar was nothing like I imagined. I had expected the locals to be warm and friendly, but they we

    mbona kwao pia kuna matukio mabaya zaidi ya hili...zanzibar bado ni kisiwa chenye mvuto.
  13. C

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Kwa mpango huu Tanzania inaelekea kutokuwa salama teena.Tutaikumbuka kwa uchungu ileee tanzania yenye amani na watu wanaopendana.....ila naamini katika jambo moja,haitofika siku wanadaamu wote wakaamini imani moja bila kutofautiana....hivyo kila mmoja azoee tu kuishi na mwenzake na kuvumiliana...
  14. C

    Madaktari na Ikulu

    Hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa chama cha madakri/jumuiya ya madaktari aliyeachia ngazi...huenda Ribosome una ajenda yako,basi kiseme kilichotokea ikulu kama unakijua.Propaganda zako hazitafanikiwa kuvunja umoja wa madaktari.Siasa wapelekee wanasiasa uchwara wenzio.
  15. C

    Madaktari na Ikulu

    Taarifa rasmi ni kwamba hadi sasa vikao vya majadiliano kati ya madaktari na team ya serikali bado vinaendelea na taarifa ya majadiliano hayo itatolewa kwa madaktari na wadau wengine muda si mrefu.Ni lazima ieleweke kwamba hakuna vitisho wala kunyamazishwa kwa viongozi wa madktari. Lengo letu ni...
  16. C

    Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    nilimaanisha mgomo,ni typing error tu
  17. C

    Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    inasemekana serikali kwa fikra fupi inaandaa kutumia hospitali binafsi za Agakhan,regency.....lugalo na ccbrt kupokea wagonjwa kutoka hospitali za umma zilizokumbwa na mgomo......pamoja na serikali kudhani hili ndio suluhisho inajdanganya kwa sababu zifuatazo. moja,hospitali binafsi hazina...
  18. C

    Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

    tangazo rasmi la mgomo wa madaktari leo tarehe 05-03-2012
  19. C

    Maazimio ya kamati ya jumuiya ya madaktari kuhusu tamko la serikali juu ya mgomo wa madaktari

    TAARIFA YA KAMATI YA MUDA YA KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI KUFUATIA TAMKO LA BUNGE (ILIYOTOLEWA LEO KWENYE VYOMBO VYA HABARI); Baada ya taarifa ya bunge kuwasilishwa leo ijumaa, kamati ya madaktari inaazimia haya yafuatayo; • Kamati inalishukuru bunge la jamhuri ya muungano...
Back
Top Bottom