TAFADHALI JAZA HAPA CHINI:
1. Nchi ulipo Ubalozi husika .....................
2. Jina la Afisa wa Ubalozi aliyepokea fedha kutoka kwa mwarabu ili amkandamize Mtanzania ..........
3. Jina la Mtanzania aliyekandamizwa ........... Nambari ya Pasipoti...........
4. Jina la Mwarabu...
Mkuu sio Watanzania tu wanaopatwa na hayo matatizo. Mataifa mengine pia. Mataifa mengine hao mawakala ndio wamekuwa sugu na wana nguvu. Hapa kwetu angalau kuna ka utaratibu na ufuatiliaji.
Wadau,
Nimesoma hii habari ya Mtanzania mwenzetu kusukumwa kutoka ghorofani. Inasikitisha lakini pia inaonekana imejaa uzushi na upotoshaji.
Nimejaribu kufuatilia. Taarifa zilizopo ni kwamba Waajiri wa marehemu ndio waliotoa taarifa Ubalozini na Polisi. (Kwa maana hiyo, Ubalozi haukupata...
Wadau,
Nimesoma hii habari ya Mtanzania mwenzetu kusukumwa kutoka ghorofani. Inasikitisha lakini pia inaonekana imejaa uzushi na upotoshaji.
Nimejaribu kufuatilia. Taarifa zilizopo ni kwamba Waajiri wa marehemu ndio waliotoa taarifa Ubalozini na Polisi. (Kwa maana hiyo, Ubalozi haukupata...
Tatizo nyinyi munaojiita wapinzani mulizamisha kichwa kwenye choo mukajipaka kinyesi mukakosa uhalali wa kuhubiri usafi. Mukawa munaimba wimbo wa kuondoa mfumo CCM tu. Sasa CCM bado ipo madarakani na inafanya mambo munaanza kusema Magufuli mpinzani 😳.
Sijui Kama mgombea wenu ndio...
Sikuwasikia hao wananchi lkn kwenye suala la usafi pande zote zinawajibika. Mamlaka husika zinapaswa kuweka vifaa vya kutosha vya kuhifadhia taka ktk maeneo ya umma na kuhakikisha taka zinasombwa kwa wakati.
Kama huduma hiyo haipatikani wananchi wanaishia kutupa taka ovyo. Wakati huo huo...
Usitoe povu la hasira bure Mkuu. Wanafiki na wema kila mahali wapo. Namba mbili kwa matumizi makubwa yatokanayo na ziara za nje ni Bunge! Na huko Bungeni waliokuwa wakibanana angani ni wote, wakiwemo wa upinzani.
Credits apewe Magufuli kwa kuthubutu, kunena na kusimamia anachokiamini.
Wengine roho mbaya tu, choyo tu, gere tu, ufisadi tu, lolote la maana lenye mwelekeo wa kubadili maisha ya watanzania wataliponda na kulipinga. Heko Magufuli.
Mhe. Rais ni vyema aendelee kuwashtukiza. Akifanya hivyo ataweza kubaini uzembe, kasoro zilizopo na wapi panahitaji kuongeza juhudi, kubadilisha uongozi au kuongeza rasilimali. Itafaa maeneo mengine arudierudie kuhakikisha maagizo yake yanatekelezwa. Kasi isipungue mpaka hapo watumishi wa umma...
Anayesema atashindwa, ashindwe yeye na atokomee mbali. Huu ni wakati wa kumuunga mkono kiongozi anayeonesha kukerwa na uzembe na wizi afanye kazi kwa maslahi ya taifa.
Umeongea kwa lugha ya mjinga lakini kuna ukweli mwingi ktkt maneno yako.Labda ni vyema muungano usingetokea kabisa kuliko kuzungumzia kuuvunja. Maana vilivyoshikana havitaacha kunyofoana ikibidi kutengana. Pia si wazanzibari tu bali wote wana manufaa na Muungano. Kwa Bara ni prestige na labda...
Duh...penye riziki hapakosi fitina.
Hao wanaomponda kama kwamba wamewahi kuona kazi zake kama afisa wa serikali. Mara Mtusi, mara Mgogo, mara Mmasai, mara mchune..sijue Mpare. Tumeni basi sample za hotuba mulizowahi kuandika ili muchaguliwe kuwa wasaidizi wa Rais Hotuba!!!
Hii imenichekesha kwa jinsi nnavyomfaham Dkt. Azaveli Feza Lwaitama na ubishi wake. Hadi hapo, unabaki kuwa ukweli wa upande mmoja. Tungepata upande wa wahudumu wa ndege na polisi tungeweza kupima na kujua nani ameonewa, nani amemuonea mwenzake na nani amefanya fujo.
Nakumbuka siku moja katika...
Mbona mpiga zee anaongea kama mnyarwanda....kule kurejea rejea "sisi wabongo" naona kama ni kujitoa kimaso maso ili aonekane mtanzania, ilhali ni mnyarwanda mwenye nia ya kutuparaganya! Inawezekanaje kulinganisha issue ya watoto wa shule na issue hii inayojadiliwa....anatulazimisha tufikirie...
Kila mmoja huchagua wa kupenda na kuchukia...kwa mazingira yake. Mwasho wa siku no permanent friend, no permanent enemy, but permanent interest.
1. Waislam wengi waliilani CCM huko nyuma, sasa wapo wengi wanaoiunga mkono, japo la sensa limewaudhi.
2. Wakristo wengi waliiunga mkono CCM huko...
Umeanza vizuri... lkn kusema kila mtu aanzishe tovuti yake aweke takwimu zake ni kukaribisha anarchy (mchafukoge). Mwisho utasema anzisheni Serikali yenu. Takwimu za nchi ni taarifa ramsi zinazopaswa kuhakikiwa usahihi wake na kutunzwa na Serikali.
Nadhani na mwenyekiti wa AU, Bony Yayi wa Benin na Kagame wa Rwanda walikuwepo kwenye mkutano wa G8, ingiwa nchi mipango yao ya mapinduzi ya kilimo haikuvutia kama ya hizo nchi tatu zilizotajwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.