Search results

  1. Matata255

    Ndugu zangu wa ACT mmeanza kuomba michango mapema mno, kwa mtindo huu watu watasita

    Ndugu Mzalendo, Mkutano Mkuu wa ACT- Tanzania litakuwa ni tukio la kipekee na la aina yake. Ili kufanikisha, tafadhali tunaomba mchango wako kadri utakavyoweza. Tuma mchango wako kupitia: NMB, A/C No. 22610004083, Jina la A/C: ACT - TANZANIA. Au M-pesa: 0763463740 - ACT TANZANIA na Tigopesa...
  2. Matata255

    Mashine za kutotolea vifaranga

    Poleni na majukumu wanajamvi. Naomba kuuliza kama kuna ambaye amewahi kutumia mashine za kutotolea(INCUBATOR MACHINES) zinazotengenezwa na KAPARATA ENGINEERING.Je ni nzuri? Ufanisi wake ukoje?
  3. Matata255

    Boom DIT

    hello
  4. Matata255

    Hakimiliki na hatimiliki

    Wakubwa naomba mnipatie tofauti iliyopo kati ya hatimiliki na hakimiliki pia na mifano yake.
  5. Matata255

    Baba mkubwa kwa english anaitwaje?

    Wanajamvi naomben jibu kwa anaefaham baba mkubwa kwa lugha ya kiingereza anaitwaje anijuze.
  6. Matata255

    Wale wa DIT!!!

    Wale wa DIT wa b.eng
  7. Matata255

    My password HESLB

    Wakuu najaribu ku login HESLB paswd yang inagoma nimejaribu kureset inaandka "page not found" sa nashndwa kuelewa nfanyeje. wadau naomben ushauri wenu.
  8. Matata255

    Password HESLB

    Wakuu najaribu ku login HESLB paswd yang inagoma nimejaribu kureset inaandka "page not found" sa nashndwa kuelewa nfanyeje. wadau naomben ushauri wenu.
  9. Matata255

    Ni nini hatma ya wale ambao hawakuweka guarantor's photo.?

    Wale ambao wamekosea application heslb kwa kutoweka picha "passport size" wafanye vp marekebisho au ndo ishakula kwao?
  10. Matata255

    Kozi gani ina maslahi makubwa ?

    Wadau kwa mitazamo yenu n koz gan ya engineering inayolpa kuliko zote?
Back
Top Bottom