Ni nini hatma ya wale ambao hawakuweka guarantor's photo.? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini hatma ya wale ambao hawakuweka guarantor's photo.?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Matata Mushkeli, Aug 14, 2012.

 1. Matata Mushkeli

  Matata Mushkeli Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wale ambao wamekosea application heslb kwa kutoweka picha "passport size" wafanye vp marekebisho au ndo ishakula kwao?
   
 2. G

  Ginner JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,138
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  kwa taarifa za juu juu nilizopata jana kwa secreatry wa pale ofisini kwao..wale wenye shida za photo na birth certificates waandike barua kuelezea tatizo lao na waatach izo picha na kutuma via EMS......wanadai maelezo zaidi subirini watayaweka kwenye mtandao
   
Loading...