Search results

  1. S

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Alkunywa pombe baa gan hyo inayouza pombe asubuh or mchana?
  2. S

    Tulichokifanya Simba Jana

    wabongo bwana ni shiiida,kazi tunayoifanya ni kuombeana njaa,Yanga is the best team in Tz whether u like or not this is the truth.
  3. S

    Tulichokifanya Simba Jana

    Acha ushabiki wa zamani,iombee Yanga ifanye vizuri coz inawakilisha nchi yako including yourself! Kuwa mzalendo na nchi yako.
  4. S

    Tunaungana kumtaka Prof. Tibaijuka agombee urais

    "Umaskini wetu wa kiuchumi na kifikra,ndiyo unaotufanya kuamini kuwa hata viongozi wezi wanaweza kuongoza nchi"Let's think beyond!
  5. S

    Zitto ataja mawaziri mizigo

    u deserve 2 b a president,big up zzk!!
  6. S

    walimu wenzangu hivi bado mnaona kunaumuhimu wa lesson plan?

    mm kwa mtazamo wangu sion uhusiano wa lesson plan na ufundishaj mzuri;kwan unaweza kukosa lesson plan na ukafundisha vzr na pia waweza kuwa na lesson plan na ukafundsha svyo.huo ni mtazamo tu wadau wa elimu.
  7. S

    Ushauri:Mpenzi wangu anapenda sana kuongea kwa muda mrefu kwa simu.

    Nampongeza shem wangu,nldhan anaongea na wa2 wengne kwa cm kumbe n ww mpenz wake,hayo n mapenz ya mwanzo badae mtajishape wenyewe ktk maongez yenu kwa cm.Ila usihofu mi nadhan anakupenda!
  8. S

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    kaka kweli ww unaelmisha,raia tutambue haki zetu hata kama una kosa na uko mikonon mwa polic.Hivi polic akikukamata ukiwa na kosa kwenye gar yako mf.huna bima,nk na wkt huo nae ana gar/pkpk ambayo ina kosa kawa lako/yako,je mm kama raia nina haki ya kumwulza nae mbona hana bima au kosa lingne...
  9. S

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    chadema hatuna udini,plz ucpotoshe watz
Back
Top Bottom