Kwakuwa wewe ni mrithi wa Mali na madeni ya marehemu ni lazima utakuwa na barua ya mahakama ya uteuzi wako. Then nenda kwa mwanasheria ili akuandalie fomu za usajili ardhi ambaxo ni "Application by personal legal representative " na Assent the benquest form. Kama kiwanja kina hati nenda ofc ya...
Daah hii migogoro ya mipaka ya vijiji vilivyopo inatosha. Hebu tufikirie namna ya kupata ardhi iliyo ndani ya vijiji hivyo kwa ajili ya lengo uliwazalo na si kuanzisha
yaani daa
Hairuhusiwi na kinyume cha sheria ya Ardhi Na.4 ya 1999 kwa mtu yeyote asiye raia kumiliki ardhi nchini. Isipokuwa kma ni mwekezaji anaweza akapewa derivative right(sect 20 of the Land Act).
Wamalawi bado wanakaribisha mazungumzo kulingana na Taarifa zilizotoka jana usiku. Mwenzetu Lowasa anataka vita ( M/K wa kamati ya Ulinzi na Usalama) cha kushingaza si mtendaji wa serikali ni mshauri wa mambo ya ulinzi. Anashauri vita. Tumemgundua wanataka kututoa kafara ssi watz tunaoishi kando...
Hiyo ni demokrasia kweli? Mbowe si pekee ndani ya CDM anayeweza kuingoza, tuwe wawazi na wakweli tujenge demokrasia ya kweli ndani ya chama tawala na vyama vya upinzani,.............
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.