Search results

  1. JOAQUEM

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ganacho??
  2. JOAQUEM

    Naomba ushauri na kujuzwa bei za mabati ya Alaf

    Hizi ni bei za resincot Maxcover (28g) mita 1 ni 21,350tsh Covermax ( 30g) mita 1 ni 12,800tsh
  3. JOAQUEM

    Interlocking bricks machine

    Iko vizuri kabisaa material ni chuma sio aluminium, nzito kabisa. Sasa hivi niko busy na mambo mengine ila nikitulia nitaitumia Cha pili kabla hujanunua fanya tafiti wapi utapata material yakutengenezea tofali hizo
  4. JOAQUEM

    Interlocking bricks machine

    No, nilichukua China yenye size hii 250mm x 125mm x 62.5mm. Niliweka ndani tu sikuitumia
  5. JOAQUEM

    Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    https://www.jamiiforums.com/threads/elimu-kuhusu-mabati-ya-nyumba.1875847/
  6. JOAQUEM

    Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

    Hawa Exim bank nina card yao ya prepaid, ukishadeposit huchukua muda kureflect kwenye bank account Nilishawahi kufuatilia mwezi mzima pesa haikuwa inaonekana kwenye account.
  7. JOAQUEM

    Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

    Mwl kwanini FNB na sio banc abc kwa account ya usd?
  8. JOAQUEM

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Bora mmeanza kuleta feedback.
  9. JOAQUEM

    Jeshi la Zimamoto na Vibali vya Ujenzi

    Nadhani kuna jambo hujalifahamu. Kibali cha ujenzi kinatolewa na Halmashaur ya eneo husika mfano site yako iko Kinondoni basi kibali cha ujenzi utaombea hapo. Hapa huwa specific wanasimamia ujenzi holela, Hawa watu wa fire na OSHA wao kazi yao ni kuhakikisha taratibu zote za usalama kwenye...
  10. JOAQUEM

    Jeshi la Zimamoto na Vibali vya Ujenzi

    Fire and OSHA compliance ni takwa la sheria kwa miradi yote ya Ujenzi (Hapa huwa wanatarget miradi mikubwa mikubwa) . Hapo unapotakiwa nenda kasajili mradi Fire gharama ni tsh 200,000/=, OSHA kusajili mradi ni bure kabisa. Unachotakiwa kufanya waite haohao fire wakague site yako, watakupa...
  11. JOAQUEM

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nilienda tigoshop ya mkoa mmoja hivi, hitaji langu lilikuwa kuungwa hivi vifurushi, majibu niliyopewa ni kuwa lazima uwe na business license. Je wewe utahitaji hiyo leseni ya biashara?
  12. JOAQUEM

    Jenga na tofali za kisasa za mwamba! Zisizo na gharama ya plasta kwa nje

    Ni urefu ni cm 16 au ni Inchi 16? Je Vipi usafiri mpaka Pale Usa river Arusha, bei gani, na minimum mnasafirisha tofali ngapi?
  13. JOAQUEM

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wewe umesema ukweli mtupu, Arsenal ni team inayojengeka vizuri ila haina depth kubwa
  14. JOAQUEM

    Naomba ushauri kuhusu ujenzi wa fensi/uzio wa tofali

    Msingi umetumia tofali au mawe?
  15. JOAQUEM

    House of the Dragon Special thread

    Episode 2
  16. JOAQUEM

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kambaaa Three nil
  17. JOAQUEM

    Gharama ya ujenzi wa vyumba vitatu, sebule, jiko na choo cha ndani

    Mkoa Arsh Trip ya mawe 4.5c.u.m ni 60,000 to 70,000 Mchanga maji chai 4.5c.u.m ni 60,000tsh ( Huu utumika kama mbadala wa kokoto, wengi hutumia kufungia mkanda baada ya kozi za msingi
  18. JOAQUEM

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa hali ilivyo sitashangaa tukikaa miaka 18 ijayo ndio tuje kuwa sawa.
Back
Top Bottom