Kaunga umenena, ila mimi nalia na watu hawa wa3 1.IGP, 2.RPC, 3. Waziri Nchimbi (kwa kauli zake tata)wote walitakiwa wawe nje saa hii, pamoja na Kufunguliwa mashitaka ya mauaji.
Wapendwa hodi tena, nimerudi kuwashukuru wote mliochangia mada yangu hii ya kumtafuta mwenza. Imekuwa ni ajabu na kweli, yaani kama utani vile ila namshukuru Mungu. Wengi waliona natania lakini kiukweli nimepata mume humuhumu JF.
Kilichonishangaza ni kwamba amekuwa muwazi sana...
Am looking for a husband,
Sifa: mwembamba kiasi, mrefu, awe msomi at list first degree, independent mind, caring, mwaminifu, charming, mwenye hofu ya Mungu, christian, smart in everything, mwelewa, gud thinking capacity(IQ), miaka 30 - 45, wa kawaida sio mbaya sana awe mzuri kiasi chake, awe...
Hodi, hodi...... mmmm jamani mbona kimya???? wenyewe mpooo, mmhh! au niondoke mbona sikaribishwi? au hamtaki wageni? Mmm basi naondoka isiwe taabu jamani maana nasikia sauti za watu ndani but sikaribiswi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.