Search results

  1. Albedo

    Kumchagua Lowassa ni kuendeleza utawala wa Kikwete

    Mkuu idawa haya ni Mabadiliko yanayosukumwa na Watanzania Maskini ambao wewe na Mzee Mwanakijiji mlishatufundisha kwamba chanzo chake ni ccm. Baadhi tulitamani yaongozwe na Dr. Slaa lakini Sisi tunapanga lakini Mungu ana yake. Hatuwezi kuyageuka eti kwa Sababu yanaongozwa na Lowasa. Wewe kama...
  2. Albedo

    Operesheni Zinduka: Jaribio la Nabii Kuzuia Utimilifu wa Unabii wake

    Miaka Kadhaa wa Kadha, "Nabii" Maarufu aitwaye Mzee Mwanakijiji alitoa Unabii wake wa Kuanguka kwa CCM. Ni Dhahiri kwamba Unabii huo unakwenda Kutimia. Lakini Kadiri Unabii huo unavyoelekea Kutimia Nabii huyo amejawa hofu ya Ghalfa na Sasa ameanzisha Operesheni Zinzuka ambayo Lengo lake ni...
  3. Albedo

    Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

    Ok. Magufuli sasa ni Mtakatifu?
  4. Albedo

    Mgombea urais wa ACT-Wazalendo ni Samson Mwigamba

    Nimeshawahi kuwasikia Viongozi waandamizi wa ACT wakisema kwamba ATAYECHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA URAIS NDIYE ANACHUKUA CHEO CHA KIONGOZI MKUU. Naongojea kwa Hamu kuona kama Zitto ataachia UNURU na UTASWIRA wa Chama Kitila Mkumbo
  5. Albedo

    Maana halisi ya Lowassa kuitosa CCM na madhara yake

    Kosa sio Kumkata tu bali Kilichoata baada ya Kumkata ni Nyie Wenyewe Kuwatumia Vijana akina Nape Kutoa Maneno ya Dhihaka dhidi ya akina Loawas na akina Kingunge. Yaani Vijana wa CCM Mmekosa adabu Kabisa? Tuliona Makonda akimtukana Lowasa na Kumpiga Warioba na Akapewa Ukuuwa Wilaya. Haya sasa...
  6. Albedo

    Ufisadi wa bilion 450: Dili ya Treni mpya Airport kwenda Mjini

    Haka Kamradi Bado Kapo Kweli?
  7. Albedo

    Usafiri wa treni katikati ya Dar-Uwanja wa Ndege Desemba

    Hivi Haka Ka Mradi Kaliishia Wapi?
  8. Albedo

    Baada ya mkakati wa Team Lowasa kuvuruga kikao cha Kamati Kuu kuumbuka, Nchimbi amtishia Kikwete

    Mkuu Lizaboni naona ume edit single umemtoa Jeri Silaa ha ha ha Mamvi anaitesa sana Team Membe ya akina Lizaboni
  9. Albedo

    Baada ya mkakati wa Team Lowasa kuvuruga kikao cha Kamati Kuu kuumbuka, Nchimbi amtishia Kikwete

    Mkuu Lizabon mbona unahangaika hivi? Hii post uliituma asbh na ile ID yako nyingine sasa hv umesahau? Any way ngoja tumsikie MUSSA ALLAN
  10. Albedo

    CCM na refarii aliyepoteza kadi na filimbi

    Mzee @Vuta-Nikuvute huyu MUSSA ALLAN amechanganyikiwa kusikia kwamba Mtalichinjia mbali jina la Mgombea wake
  11. Albedo

    Special Thread, COPA America 2015

    Wadau tunaomba Link inayoonesha Mtanange. Vipi Azam TV Wanaonesha?
  12. Albedo

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    Mkuu Salary Slip huwa nakuamini kwama wewe ni Mtu Makini. Ni Bora Ujinyamazie kuliko kujidhalilisha kwa Hoja zako Dhaifu
  13. Albedo

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    Zitto Kabwe AMEWALGHAI WATANZANIA WA DAR ES SALAAM
  14. Albedo

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Mkuu Tulia wenye Akili wauchambue Uayatollah wa Bosi wako
  15. Albedo

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Sasa Mkuu kama sio Uroho wa Madaraka ni nini? Kwa Maujibu wa Katiba ya Sasa Zitto hawezi Kugombea Urais sasa kwa nini Wafanye Maamuzi ya Kumfanya kuwa Kiongozi wa Chama based on TUMAINI la KATIBA Kubadilishwa kwa Sababu Katiba. Yaani Mku unaona SAWA HAPA? Mkuu sioni Tofauti bali ni Jina tu...
  16. Albedo

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Mkuu Mkandara swali langu umeliona lakini?
  17. Albedo

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    What if asipogombea kwa sababu hakidhi vigezo (Umri) ACT haitasimamisha Mgombea Urais? na Kama itasimamisha Zitto atajiuzulu Ukuu wa Chama?
  18. Albedo

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Mkuu Mkandara ACT Mwaka huu 2015 watasimamisha Mgombea Urais?
  19. Albedo

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Ina maana huyu Mkuu ndio anaandaliwa kuwa Mgombea Urais? How? Maana umri utakuwa bado This year.
  20. Albedo

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Hata sielewi but kutokana na hiyo CV bila shaka wanafit zaidi kwenye Maoist
Back
Top Bottom