Search results

  1. dasenior

    Ukweli mdogo kuhusu alliance in motion global

    Ninafikiri hakuna asiyefahamu kuhusu ALLIANCE IN MOTION GLOBAL, Basi hizo picha hapo chini moja wapo inayomuonyesha Donald Trump akiwa ameshika hilo bango linaloonyesha Food Supplementary za Kampuni hiyo (Nilitumiwa na Rafiki anayejishughulisha ba biashara hiyo akiwa katika kunishawishi). Kwa...
  2. dasenior

    Jifunze jinsi ya kutafuta simu iliyoibwa

    Mobile Tracker zipo nyingi mno, Toa link yake
  3. dasenior

    Mbinu za kufuata ili uweze kutumia unofficial whatsapp bila kuwa banned

    YoWhatsapp unaweza kuficha mtu asikuone upoview status yake,msg zikifutwa kwako hazifutiki,ina features nyingi mno kuliko GB na FM
  4. dasenior

    Mbinu za kufuata ili uweze kutumia unofficial whatsapp bila kuwa banned

    Kweli mkuu upo sahihi kabisa tangu iwe introduced hakuna features walizoongeza
  5. dasenior

    Mbinu za kufuata ili uweze kutumia unofficial whatsapp bila kuwa banned

    Hahahaaa wewe ni mbishi[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. dasenior

    Mbinu za kufuata ili uweze kutumia unofficial whatsapp bila kuwa banned

    Habari zenu wakuu!?.. ________________________ Uzi huu ni maalumu kwa wale ambao walikuwa wanatumia Unofficial Whatsapp kama GBWhatsapp,YoWhatsapp,FMWhatsapp n.k kisha wakajikuta wanakula (BAN) bila kutegemea wala kutarajia. Nitakupa ujuzi nini chakufanya kulingana na uzoefu wa matatizo ya...
  7. dasenior

    Kitendo alichofanya Huyu Traffic, ameifanya siku yangu iwe hivi...

    Mpaka dakika hii bado haujaamka tu kutoka kwenye hiyo ndoto??
  8. dasenior

    Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

    Akipata madhara kama wewe nayeye ataacha.
  9. dasenior

    Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

    Jambo la kwanza mwandishi unapaswa kufahamu nini maana halisi ya neno Biblia, Basi kama maana yake ni mkusanyiko wa vitabu ambavyo vimefanyika kuwa kitabu kimoja chenye vitabu vingi vyenye kuzungumzia matendo na ukuu wa Mungu aliyehai. Basi fahamu kuwa enzi za kale hakuwako mwandishi mmoja...
  10. dasenior

    Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Hapana kiongozi bado sijajua kuweka rangi ngoja tusubiri wataalamu watusaidie.
  11. dasenior

    Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Andika hivi [ b ] ila usiache nafasi Kisha neno lako linapoanza pia usiache nafasi kulitengenisha na hili bano la mwisho mfano. b]Kama hivi
  12. dasenior

    MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Utajiumiza moyo wako ama kujitafutia matatizo tu, Cheza nafasi yako naye acheze nafasi yake kila mmoja kwa kujitambua mbona kwa zoezi hilo tu utamjua mwenzako. Mwanamke kama alikuvutia basi ujue wengine pia wanamvutia hilo halina kinga hivyo basi kumfuatilia kafanya nini na yupo na nani kwa...
  13. dasenior

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Hiyo app haukosi Movie ni bundle lako tu,Labda za series tu.
Back
Top Bottom