Search results

  1. A

    For JamiiForums Mobile users

    Za asubui ndugu..naombeni msaada wenu kuna simu yangu samsung galaxy duos GT-s6102 ilikua na screen lock ya pattern ya kuchora sasa kuna mtu aliichukua akakosea kuandika password sasa nili switch data off na inaniambia niandike email ili niweze ku unlock sasa inakua ngumu coz data inayosapoti...
  2. A

    POLISI WANAMSAKA Abdallah Alila ARUSHA

    Kama huyu jamaa kakamatwa atoe ushaidi.......ili isiendelee kuvuruga amani ya nchi kwa kuogea vitu amabavyo havina ushaidi wowote......
  3. A

    Msaada Please: Hii imekaaje? (Kwa wanawake tu)

    Wacha kitu ithaminishwe and then utaona matokeo yake............. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  4. A

    Lipi bora kati ya biashara na elimu katika maisha?

    Habari zenu ndugu zangu. Jamani naombeni ushauri natamani mambo mawili (2); yaanni kusoma na kufanya biashara sasa nashindwa kuamu lipi ni fanye lipi niache lakini nikaona ngoja nililete hapa kwenu mnisaidie mawazo yaliyoambatana na vigezo vya kuzingatia kila kipengele.
Back
Top Bottom