Search results

  1. K

    Data Entry Operator

    I have Certificate in Business Administration
  2. K

    Kazi kazi kazi nafasi mbili

    0764945821
  3. K

    Naumia sana, Sikujua kama kuna siku nitanyanyaswa!

    Pole sana dada, kwanza fanya maombi sana mungu atakujibu, alafu rudi kwa mmeo na uwe mkali kwa hao mawifi usiwasikilize maneno yao mi nnavyojua mawifi ukiwa mpole wanakunyanyasa ukiwa mkali watakuogopa usikubali kuacha mali ulizochuma na mmeo, mwingine aje ale kiulaini,yaani kataa dada mawifi...
  4. K

    Marufuku Kumuoa hata kama ana mimba

    Hilo mbona sio tatizo, ongea na huyo mkeo mtarajiwa kama ana ndugu yake ambae ni mtu mzima muelewa ili akaongee na wzazi wa huyo binti, wataelewa tu wengi yamewatokea tena sio dhehebu dini tofauti na wameelewa na maisha yanasonga, dont give up
  5. K

    wenye uzoefu naomba ushauri

    Habari wana JF, nina rafiki yangu anafanya kazi kwenye compuni ana mtoto mmoja na hawana mawasiliano na baba wa mtoto tangu mtoto azaliwe ana umri wa miaka miwali, Kuna mwanaume ofisini kwao anataka awe nae kama mpenzi wake, Swali lake, je mahusiano kazini yana hatari? Naomba ushauri
  6. K

    Nahitaji kuachana na huyu mwanamke,naomba ushauri wako tafadhali!

    kama yy ana historia mbaya je ww una historia nzuri usimuhukumu mwenzio wakati na ww ni binadamu jaribu kufikiria kwenye hayo maamuzi yako, usifikirie huyo tu fikiria na utakae mpata atakuwaje?
  7. K

    MAHUSIANO: kazi Kweli kweli......!!

    Pole sana! Watu hao uliowataja ndivyo walivyo, vumilia tu maana ndoa umeshafunga
  8. K

    Hii nayo kali,,,,,

    pole dada! Na ww mwambie huwezi kuwa na urafiki na mume wa mtu wa baadae
  9. K

    Hata wewe ulivyokuwa mjamzito ulifanya hivi....

    Pole sana kaka! mi nijuavyo kuna wengine makusudi , wengine yanatokea kweli ila huyo wako kazidisha mwezi 1 mapema sana mpeleke kwa wazazi akapumnzike
  10. K

    FAMILIA: Je, Unahitaji kuwa na Ndoa Imara, yenye Furaha na Amani? Soma hapa...

    Asante sana na ubarikiwe nimejifunza kitu Asubuhi ya leo kazi njema
  11. K

    Sababu za watu kusaliti katika mapenzi

    Mi nijuavyo ni hulka ya mtu mwenyewe
  12. K

    receptionists vp jaman

    wadada wengine sio amri ila hawawapendi wenzao
  13. K

    Kuoa Mwanasheria!!

    suala la kuoa/kuolewa halina sheria wala mhasibu wala nesi, hao wake wa rafikizo wana yao tu
  14. K

    Naomba ushauri wenu wana jf

    Asanteni kwa ushauri,
  15. K

    Naomba ushauri wenu wana jf

    sim inapatikana ila haipokei
  16. K

    Naomba ushauri wenu wana jf

    Poleni na majukumu yanayowakabili, Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi nane hatujawahi kufanya mapenzi ila tuna chati na kutembeleana, Ila kinachonitatiza yapata wiki sasa...
  17. K

    Naomba ushauri wenu wana jf

    Poleni na majukumu yanayowakabili, Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi nane hatujawahi kufanya mapenzi ila tuna chati na kutembeleana, Ila kinachonitatiza yapata wiki sasa...
  18. K

    Naomba ushauri wenu wana jf

    Poleni na majukumu yanayowakabili, Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi nane hatujawahi kufanya mapenzi ila tuna chati na kutembeleana, Ila kinachonitatiza yapata wiki...
Back
Top Bottom