Search results

  1. H

    Ukiukwaji wa taratibu na ushamba Bungeni katika Uchaguzi wa Spika wa Bunge

    Asante kwa kunijuza kuwa katika Kikao cha Uchaguzi wa Spika ndipo panaruhusiwa taratibu kutokufuatwa!
  2. H

    Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu

    Hiki ndicho kitu cha fedheha kubwa katika karne yote ya 21 nchini mwetu. Yaani hawa watu hawastahili kuwa Bungeni period! Na tusingoje utabiri wa Nabii yeyote; Anayekumbatia uozo huu haijalishi awe CCM au CHADEMA etc ATALIPA KWA MACHOZI KAMA SI YEYE BASI NI WANAE AU WAJUKUU WAKE ! Maana Jinai...
  3. H

    Ukiukwaji wa taratibu na ushamba Bungeni katika Uchaguzi wa Spika wa Bunge

    Sasa ujue kuwa hata mabadiliko ya Katiba ni Bungeni tu. Elewa umuhimu wa kuweka sawa huu muhimili !
  4. H

    Ukiukwaji wa taratibu na ushamba Bungeni katika Uchaguzi wa Spika wa Bunge

    Ni ngumu kuacha maana tuko humo ndani huku tukivuja damu ( internal bleeding) kila wakati ama Kanuni au Taratibu zinapovunjwa.
  5. H

    Ukiukwaji wa taratibu na ushamba Bungeni katika Uchaguzi wa Spika wa Bunge

    Ni ngumu kuacha maana tuko humo ndani huku tukivuja damu ( internal bleeding) kila wakati ama Kanuni au Taratibu zinapovunjwa.
  6. H

    Ukiukwaji wa taratibu na ushamba Bungeni katika Uchaguzi wa Spika wa Bunge

    UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI UKIUKAJI: Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo. Mosi, wakati Mwenyekiti anasema kuwa hakuna tatizo Mpiga Kura kutoa fedha kwa Mgombea wakati wa kujieleza; anajuaje...
  7. H

    Hujuma kwa mstakabali wa Amani, Usalama na Maendeleo ya Taifa letu

    YOTE NAYAKUBALI. Mimi kama Mbunge; HUJUMA namba 5 na SULUHISHO lake naunga mkono kwa 100%. Na endapo Spika na Naibu wake watashindwa kuchukua hatua hii haraka basi naandaa Hoja Binafsi tupate Tafsiri ya Sheria toka Mahakamani na pia tumekwishaanza ground work ya UWT nasi tuanze kutoka na...
  8. H

    Hujuma kwa mstakabali wa Amani, Usalama na Maendeleo ya Taifa letu

    A very well thought of thread.
  9. H

    Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

    Kumbe ndio maana WAHUSIKA katika Mei Mosi walikuwa WAFANYA-BIASHARA WAGENI. Na alipoongea na Wazee Dar, WAHUSIKA nao walikuwa WAFANYA-BIASHARA Wazee WAGENI. Hata Msafara wake Kenya nao walikuwa ni WAFANYA-BIASHARA WAGENI. Alipoongea Bungeni alikuwa anahutubia Wabunge WAFANYA-BIASHARA...
  10. H

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Dr. Muhongo au Mwakyembe ni appropriate match ya Rais wa awamu ya 5. Hao wengine sijui akina Mwiguru, Makamba, si tu kwamba uwezo wao ni mdogo, maisha yao ya Kuongoza yana maswali kibao. Kuna watu wanapenda sana kujipendekeza lakini ungejua undani wao wa kiwango chao cha uadilifu au uzalendo...
  11. H

    JWTZ, wafanikiwa kutegua bomu lililokuwa limetegwa visiwani Zanzibar

    Kutoweka kwa amani huchukuwa muda mfupi lakini kuirejesha sote tutalia hata tunaochekelea na kushabikia upuuzi huu. Hatua stahiki zichukuliwe haraka dhidi ya wale wanaotaka kuleta machafuko visiwani.
  12. H

    Kondoo na radi

    Yale yale, ya 'ukitembea (bila kuwa mwangalifu)na kujikwaa basi kuna watu mahala fulani wanakusema!!! Utafikiri wale wasiojikwaa hawasemwi!!! kwikwi!!
  13. H

    Telekinesis

    "Telekinesis in Ballot Boxes" itakuwa mada ya kufuatiliwa sana muda mchache ujao!
  14. H

    Ajali Iliyosababisha Kifo cha Deo Filikunjombe ni ya Mungu au ya Shetani?

    Kwa wasioamini Mungu wala Shetani; hakuna jibu! Zaidi ya yote ebu jaribu kutaja natural courses uone jinsi ambavyo zinaweza kuwa si natural course (in a wider consideration).
  15. H

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Kwa vile Urais ni taasisi inayohitaji Wasaidizi wenye sifa stahiki bila upendeleo; zikiwemo kuwa na uwezo wa kufanya kazi katika Ofisi husika, uadilifu na uzalendo; Je, uko tayari kuruhusu uundwaji wa Wakala Huru Maalumu wa Ajira ya Watumishi Viongozi wa Umma (Special Recruitment Agency for...
  16. H

    Kizungumkuti cha gesi

    Ni ukweli usiopingika kuwa tuna Wabunge wenzetu ambao ni Wanasiasa uchwara tulionao bungeni ambao nawaita ma-agent wa mafisadi waliotaka kusambaza mafuta feki na pia wale wenzao wanofisadi TANESCO kupitia mapato ya majenereta yao. Ni hawa ambao wanaoshangilia tuwapo gizani maana hiyo ndiyo...
  17. H

    Kizungumkuti cha gesi

    Wajuvi wa kupiga ramli hasa Mwita Maranya yule mkulima wa mboga na kipenzi chake kiongozi wa Masalia (mzee wa dawa za panya aliyeaga kwao) watujuze ni nini hasa KIZUNGUMKUTI CHA GESI.
  18. H

    Tarime Wanaandaa Maandamano

    sawa kabisa kama serikali itaruhusu upuuzi huu wa kila watu kudai mali zao. Hakuna cha kushangaa hapa. Tena watu wa Mara wadai makao makuu ya TANAPA yahamishwe yawe Musoma au Serengeti maana kila mwenye rasilimali haoni ambavyo anaweza kufaidi mpaka ajengewe hapo kwake!! We are setting a very...
Back
Top Bottom