Search results

  1. manshiroo

    Itakuwa tarehe 15/10/2013 niombeeni Waungwana.

    Mungu awabariki na kuwalinda Mungu awainulie uso wake na kuwafadhili na Mungu awabariki kila muingiapo na mtokapo.
  2. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    sio kila kitu utafuniwe vingine tafuta mwenyewe.
  3. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    Aurora alishafariki since last yr sasa kabaki huyu Shomari, Kinje na Pinto
  4. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    Shomari ni mshenzyy tu na huyu anashirikiana na Kinje katika hili. Kama unaweza kukonnect dots wakati anamiliki tenda ya ubungo bus terminal aliwah kusafirisha madawa na baus ta taqwa kwenda SA. AKIDAI ni tiket za getini a ubungo eti zimekosewa namba so anarudisha kwa supplier.
  5. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    mkuu unahoji hilo?? huwez amini hata sasa kuna mwana masumbwi mmoja kakamatwa Italy na sembe, na huyu kachana live kwamba mzigo ni wa shomari. huyu jamaa ni balaa sana hata sisi kufungiwa kwenye shirikisho la ngumi sababu ni yeye.
  6. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    ndiye huyo huyo tulizoea kumwita Shomari ila anajiita Omari
  7. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    mbona na kuna aliyemsambu Italy??
  8. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    kumbe na wewe umeskia hii habari enh!!
  9. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    Ushahidi upo tena wa wazi kabisa mbona hata ndugu yao ambaye ni afisa utumish wa wizara fulani naye anahusika?? Huu ukoo ni balaa, wana ndugu zao wanakaa Kibamba vijana wakubwa wenye waume na wake lakin hawafanyi kazi kazi yao ni hii hii ya sembe. Wana maisha mazuri usipime lakini kutwa wako...
  10. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    Nikumbushe nini zaid?? Ama unataka kujua kisa chenyewe?? Basi iko hivi Samwel Sitta mkewe mkubwa aliitwa Valeria ni marehem kwa sasa, huyu ni mtoto wa dada yake na Kingunge kabisa huyu bibi aliitwa Mama Mbonde(Lydia) manake aliolewaga na mzee Mbonde naye alifariki miaka kama miwili imepita...
  11. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    habari ndio hiyo, na bado tena tutataja pasina kificho
  12. manshiroo

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    Mbona mambo yako wazi kabisa?? Mwenye Mzigo ni Kinje Ngombale Mwiru. Huyu anajulikana na narudia kusema tena ndiye aliyetumika kumuharibu mtoto wa Sitta ALIYEMZAA kwa mkewe mkubwa aitwaye Valeria(rip). Huyu tena anashirikiana na Shomar Kimbau sijui kwanini watu wanawaonea aibu hawa watu.
  13. manshiroo

    Dah, Bolingo zilizowahi nibamba

    I can imagine mboko ulizokula kwa kutoroka home.
  14. manshiroo

    Nimepatwa na kitete.

    thanks Mentor. Actually i have discovered chitosan, bentonite conjugates in simple lg. But scientifically i have branded it a name chs-bent depolymerized conjugates, is a form of nanoparticles which can be used to treat waste water as well as portable water at house hold level means at point of...
  15. manshiroo

    Huko WILAYA YA KILOSA Wagonjwa wa KIUME na wa KIKE wanalala wodi moja

    sasa si bora hao wanalala wodini hta kama wanashea wodi moja kama mume na mke lkn wapo hai. Huko Muleba kuna outbreak ya malaria ambayo imeshaua watoto wapatao 25 sasa hivi na jopo la madaktari na watafiti wako huko kuangalia kulikoni. imagine wilaya moja ndani ya wiki kupoteza watoto u5 25 sio...
  16. manshiroo

    Nimepatwa na kitete.

    Heshima mbele wakuu. Mwenzenu naombeni mnipe jinsi ya kufanya hapa manake nimepatwa na kitete sijui nifanyeje. Nimepata fursa ya kushiriki kwenye WORLD SMART PARTNERSHIP DIALOGUE itakayo fanyika hapa DSM kuanzia tarehe 26/6. Kwenye kongamano hili kutakuwa na delagation ya watu 600 na maraisi...
  17. manshiroo

    Hili ndo gari ghali kuliko yote duniani ,ni zaidi ya tsh. Bilioni 4 lina vitanda,dhahabu kibao

    nafikiri kwa hiyo bei halipiti kwenye njia mbovu kama za dar-klm.
  18. manshiroo

    MAKALIO!!..MAKALIO!!..finaly yamemuua anko wangu!

    I thought kabaaaaaaaang ni tigo kumbe ni makalio?? kweli lugha inapanuka sasa.
  19. manshiroo

    Kijana ajinyonga leo maeneo ya Mbezi Beach njia panda ya Rainbow!!

    sikushangai manake hata haki za huyu marehem huzijui. kimsingi ni kosa kuonyesha picha za marehem bla idhini ya ndugu wa marehemu. pia ni kosa kuoesha icha za mauaji ya kutisha bila kutoa angalizo
Back
Top Bottom