Search results

  1. Ngumu kumeza

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Daah! Mbavu zangu kwamba. Ooo raba shaka shakarabaaaaa Nilisema 🤣🤣
  2. Ngumu kumeza

    Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Hata mkwe hajafa jamani mnataka urithi hatari sana hii.
  3. Ngumu kumeza

    Wakopaji sugu wasiolipa wenye asili MOJA

    Kama hawa ni uvisisiemu basi mimi ni chipkizi walai!.
  4. Ngumu kumeza

    Mohamed Salum: Nchi zenye Mitaji Mikubwa ya Uwekezaji Duniani kwa sasa zipo Uarabuni

    Hakuna anaebisha kwa hilo tunachotaka ni kurekebishwa vipengele vyenye utata ni hayo tu.
  5. Ngumu kumeza

    CCTV cameras events playblacks special thread

    Kifo sio mchezo mwamba katembea yule.
  6. Ngumu kumeza

    Kwanini wimbi la wadada wasomi kukosa wanaume wa kuwaoa linaongezeka?

    Mpambe yupo kazini hapo lazima apambane.
  7. Ngumu kumeza

    Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    Mbali sana niamini mimi.
  8. Ngumu kumeza

    Mnapata wapi wapenzi?

    Inategemeana na wewe unataka kumpatia wapi? Sokoni, kanisani,safarini, au popote pale unapotaka.
  9. Ngumu kumeza

    Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

    Sasa hawa wengine ni wa sehemu gani?
  10. Ngumu kumeza

    Zifahamu siri za maisha

    Tulia kwanza.
  11. Ngumu kumeza

    Nipeni sifa za wanawake wafupi!

    Kiufupi hawajiamini muda wote wanahisi wanaonewa.
  12. Ngumu kumeza

    Hivi inawezekana mtu kuzimia na kuendelea kushikilia mfuko aliobeba?

    Itakuwa hajatajiwa dau kwa hiyo kazi.
  13. Ngumu kumeza

    DPP Biswalo Mganga unalazimika kuwajibika kujiuzulu baada ya kumtoa "mahabusu" Nusrat Hanje gerezani akawe ghafla Mbunge

    Wako juu ya sheria hao usitegemee hilo mkuu Katiba kwao ni takataka haiheshimiwi wala hatuna cha kuwafanya kwa sasa labda mpaka tutapojitambua na kuchukua hatua dhidi ya hawa wavunja Katiba mchana kweupe.
  14. Ngumu kumeza

    Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

    Ila we jamaa na safari hii ukikosa uteuzi itabidi ujitafakari unakosea wapi? Ujirekebishe ili lengo lako litimie.
  15. Ngumu kumeza

    Kuna watu na VIATU

    Mambo ya wivu tu hapo hakuna kingine.
  16. Ngumu kumeza

    Ipo siku tutamkumbuka Rais Dkt. Magufuli tunayemdhihaki kila siku katika mitandao ya kijamii

    Kila mtu atakumbukwa kwa namna yake katika jamii kwa walotenda mema na maovu pia.
  17. Ngumu kumeza

    Nitumie dawa gani mpenzi wangu aniache automatically?

    Mbona imeisha hiyo cha msingi we kosea njia kimakudi atakimbia mwenyewe.
Back
Top Bottom