Search results

  1. N

    Ndalichako anawahujumu Waislamu bila Chenga.

    Nimewasikiliza sana, lakini naona madai yenyewe ni upuuzi mtupu! Hivi kama Ndalichako angetaka kuwaonea, angewaonea kwenye somo moja tu la Kiislamu? Kwa nini asiwaonee kwenye masomo yote? Halafu alinayeratibu somo la Islamick Knowledge unamfahamu au unalopoka tu? Mimi bahati nzuri namfahamu...
  2. N

    Natafuta Mchumba wa Kike ili nioe

    Mimi Mwanamume mwenye miaka 40, nimeachwa na Mke wangu kwa sababu nimekata kuokoka kwa Mwingira. Natafuta mwanamuke mwenye sifa zifuatazo: Awe na Umri kati ya miaka 30 na 35. Awe tayari kuzaa watoto wasiozidi wawili (02). Awe Mfanyakazi aliyeajiliwa. Awe Mkatoriki au kama yupo dhehbu lingine...
  3. N

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Kama amesema waliompiga Dk. Ulimboka walikuwa wamevaa Magwanda ya CHADEMA, basi aliwaona! Kwa nini Saidi Mwema usianze na huyu kama shahidi namba Moja? Kamumburute hima aje kusaidia Polisi. Au waruhusu vijana wakamfanye kitu mbaya kama alivyofanywa yule Nyumba ndogo mwingine (DC) wa Igunga fasta!
  4. N

    CCM imebakiwa na wanachama 2,500,000

    Mkuu nadhani wewe inaipendelea sana CCM, umenihesabia humo humo na mimi wakati lilishasepa siku nyingi, ila kadi nilichoma moto kimyakimya! Pengine imebakiwa nao 2,000,001 tu!
  5. N

    Bajeti ya kuwamaliza wasilokuwanacho

    Wana JF; Hebu fikirieni; Bajeti iliyosomwa imepandisha Gharama za Mawasiliano ikiwa ni pamoja na Simu za Mkononi za Mchina ambazo Mlalahoi amenunua kwa kubangaiza elfu mojamoja zikafika 25,000/= akanunua ili imusaidie kusaka Tonge. Bajeti imeongeza PAYE kwa wafanyakazi ambao kila wakilia na...
  6. N

    Bajeti iliyowasilishwa haijali Maskini wa ukweli hata kidogo

    :hand:Wana JF; Binafsi nimesikitishwa sana na Bajiti ya Mheshimiwa Dokta......... ambayo haikuzingatia kuwa kuna watu ambao ni walalahoi pasee! Angalia inavyotaka kodi iongezwe kwenye mawasiliano (Simu) ambayo wapika Vitumbua, Mama Ntilie, Wamachinga nk wanamiliki Simu ambazo wamenunu za Mchina...
Back
Top Bottom