Search results

  1. M

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Poleni sana wafiwa.roho za marehemu zikapate reheme kwa mungu zipumzike kwa amni,AMINA.
  2. M

    CHADEMA ingekuwa na TV hotuba ya Mhe. Lema ingerudiwa wiki nzima na kuhamasisha watu

    kama ni kweli acha tu waje maana inasikitisha sana hizi tv za kibongo zinabana sana,Tena nasikia wamemuajiri Tido Mhando hawa jamaa.patakuwa patamu huko
  3. M

    Naibu waziri wa mambo ya ndani na hotuba ya kambi ya upizani

    Jamani huruma mi sitaki hii kitu,ona wale polisi wanavyomuangalia kwa uchungu maana wanajua kabisa waziri anajitetea uongo.pale wamepeleka maboss wao wako wapi wale wadogo wanaozunguka na pikipiki kutwa nzima,tanzania nchi yangu nakulilia sana
  4. M

    Kibano cha Ngeleja Bungeni: Hotuba ya Madini na Nishati 2011

    Jamani huko kwetu ni mgao wa kufa mtu toka j3 wanakata saa 12 asubuhi mpaka sa 5 usiku,ila leo wamekata saa saba mchana,nahisi hawataki tusikie hoja za waheshimiwa wetu.
  5. M

    Elections 2010 Regia mtemanyenja ananyimwa ubunge rasmi saa nne hii asubuhii mjini ifakara.

    Jamani kwa nini mnafanya huu uonevu.nyie si ndio mnajifanya mnateta haki za walemavu?mwachieni huyo dada jimbo lake kalipigania vya kutosha.Kama wakimchakachulia basi naamini kabisa ile nafasi ya Mdee viti maalum itamfaa huyu dada na 2015 watauona moto wake.
  6. M

    Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    huku tunakoelekea tutasikia na ikuku imechomwa.watu wana hasira sana sijui kwa nini wanakuwa wagumu kutangaza aliyeshinda jamani.
  7. M

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    jamani mungu mkubwa.hakuna kinachopita nguvu ya umma
  8. M

    Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

    Hongera sana kaka Mnyika kwa kweli umelipigania sana hilo jimbo kwa muda mrefu.mungu akutangulie ukafanye mabadiliko huko mjengoni.Ikiandikwa imeandikwa wameshindwa kuchakachua hapo.Hongereni sana kwa kuzilinda kura hapo
  9. M

    Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

    Jamani mtatuua kwa presha hebu fanyeni haraka maana tumechoka kusubiri ni bora watangaze shughuli nyingine ziendelee
  10. M

    Elections 2010 Kawe wanataka Kuhesabu kura Upya - Live BBC

    Jamani asikubali/wasikubali.taarifa nilionayo ni kwamba wanasema kwa kuwa wanakaribiana ni rahisi kuchakachua kawe ila kwa Mniyka ni ngumu sana.,sasa hapo wakikubali tu wanaangukia pua jamani.Jamani ccm acheni watu wapate mtu wao wanaemtaka.
  11. M

    Elections 2010 CCM "wamechakachua" picha

    Jamani kumbe hali ndio ilivyo.mi nilishabishana na watu kuhusu mkutano wa moshi mjini maana nilikuwepo lakini muda wa taarifa ya habari niliona umati zaidi ya uliokuwepo pale mashujaa.Mungu atatusimamia tu
  12. M

    Elections 2010 Kituo feki cha kura chagundulika Shinyanga

    Jamani chama tawala na Nec kwa nini wanataka kutuchagulia mtu ambaye sie.waache watu wafanye maamuzi sahihi.
  13. M

    Elections 2010 Shibuda ahamia CHADEMA

    Kabisa hawa watu ni wapiganaji ila walinyimwa uhuru.wahamie huku waendeleze mapambano maana walibanwa vya kutosha.
  14. M

    BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

    Kilichomrudisha ni nini,hawa ndio wale wanauziba bahati za wengine bwana.hyo baba yake kama alimshinikiza kutoka kwa nini sasa karuhusu arudi?Tuendelee kumuombea Mwisho wetu awe wa mwisho kutoka kwenye hilo jumba la kaka mkubwa.
  15. M

    Elections 2010 TAKUKURU yamkamata Magreth Sitta Tabora; Aachiwa kwa dhamana

    Hawa watu ,Mwakyembe,Sitta na wengine sijui kwa nini wanashindwa kusoma alma za nyakati.Hawatakiwa kabisa ccm na ndio maana wanawatengenezea zengwe.Ushauri wa bure ni wao kutoka na kutafuta chama kitakachowathamini.Subirini kampeni za kweli zianze kama mtasikia hii kamatakama ya kijinga.Naona na...
  16. M

    Elections 2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

    Nimeona kwenye ITV slaa akiwa huko karatu.jamani ule umati unatisha.swala ni je hawa watu wamejiandikisha kupinga kura?na je siku hiyo kama wamejiandikisha watakwenda.Kunahitajika elimu ya kutosha kabla ya tarehe ya uchaguzi ule umati unahamasisha sana.
  17. M

    BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

    NI usd 200,000 mkuu.Namuombea mungu huyu kijana ashinde.ameshapigika vya kutosha na sasa ni mtu mzima sidhani kama atarudia uli ujinga wa wakati ule na akina RC.
  18. M

    Tanzanian Lawyer Who Defended Rwanda Genocide Suspect Is Killed

    Jamni hii inasikitisha sana.Hivi hao wanaojiita JWTZ kwa nini na hao wasihusishwe na ulinzi wa raia na mali zao.maana kwa mtazamo wangu naona hawana kazi zaidi ya kuchukua mishahara tu.Ethiopia nchi inalindwa na wanajeshi na kila wakati utawaona wakizunguka kuhakikisha usalama upo.Jamani...
  19. M

    Mmmh Watoto wa Kihabesh Si Mchezo

    Chakula kinaitwa njera/injera.kwa kweli kama hujazoea kula vitu vichachu huu msosi huwezi kula na sosi zake zina pilipili ya kufa mtu.Kuhusu uzuri zidhani kama ni wazuri kama mnavyozani,niko hapa kwa miaka nane nawajua vizuri naamini hata tz wapo warembo.Kwanza ni wachafu sana ni hizo jeans tu...
Back
Top Bottom