Search results

  1. K

    Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

    Hili ndio tatizo letu tukijadiliana bandari tutaingiza uislam, uarabu, halafu kama ulivyofanya jamaa yangu 'Retired' character assasination kwa Mtume wetu, kinachonisikitisha ukatumalizia na cartoon yako kutaka kumtukana Prophet wetu kwa matusi yako ya picha why uende all the way kujitahidi...
  2. K

    Wayemen waushambulia tena uwanja wa ndege wa kimataifa wa Saudia; mara hii watumia drone tano

    Abuu Dhar ukielewa vita hutabaki ukisema anawapiga mashiaa wanaokufa katika mabomu ni Waislam sunni kama mimi na wewe, Mtume aliposema wanapopigana wote motoni kulikuwa na maana kubwa hapo.
  3. K

    UBAKWAJI WA TELEZA: Mtuhumiwa wa ubakaji wa TELEZA akamatwa Kigoma

    Chizi atakaetaka kujiripua atakuja kukutajia jina lake ili ukimbie kwanza? Blunder akifanya mmoja unawapakazia wote wenye majina usiyoyapenda kwamba ni waripuaji, hata kama wako karibia bilioni wewe utabaki unamzungumzia Chizi mmoja na usione kabisa uzuri wa bilioni waliokuzunguka.
  4. K

    UBAKWAJI WA TELEZA: Mtuhumiwa wa ubakaji wa TELEZA akamatwa Kigoma

    Kweli tofauti lakini kwa akili yako kutofautisha bado inaonyesha ugonjwa aliokuwa nao aliowachomekea waarabu unao pia, ku label watu kwa uarabu kunakuonyesha unahitaji msaada wa kupimwa akili.
  5. K

    UBAKWAJI WA TELEZA: Mtuhumiwa wa ubakaji wa TELEZA akamatwa Kigoma

    Wameshatengeza machine za kupima ubongo nafikiri wakipima yako itabidi wafungue utafiti mpya wakuijadili yako ilivyo, utakuwa utafiti ulioshinda huu unaoelezea sasa.
  6. K

    50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

    KWA NINI UNADANGANYA? Mwislam wa kweli unaomzungumzia wewe mpaka asiwe rafiki wa Mkristo unaitoa wapi? Mimi Muislam mwenyewe nashangaa na misimamo unayotulisha, uongo wa kupitiliza, hii chuki yako binafsi sasa unaisambaza kijinga halafu unajisifia kumzungumzia Muislam wa kweli, acha hizo ..
  7. K

    50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

    Wewe Mgen majibu yote uliyopewa na huyu Dada na proof zote za maandishi bado tu umeg'ang'ania na unataka 'asbab nuzul', nionavyo Wewe hutaki kuelimishwa kwa kifupi una kitu ubishi wa asili, kwa kukusaidia hiyo habari ya Taqia uliobandika itakuchanganya sana kwa sababu wengi imewachanganya, kwa...
  8. K

    50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

    Hao Wasaudi wanawake kuendesha magari sio issue ya Uislam, ni masuala yao binafsi kama nchi, unachanganya mada, Iran wanawake wanaendesha miaka mingi na ni nchi ya Kiislam. Kuendelea sio kubadili mavazi, tazama Europe 1800 walikuwa wanawake wanavaa vipi, isiwe kigezo kwako mavazo yakibadilika...
  9. K

    50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

    Wanafunguka akili kwa kuwamaliza wanaokwenda kusali msikitini? Wewe unaona kila siku Wazungu wanaingia katika Uislam labda ingelikuwa kinyume chake Waislam wanapata akili ya kutoka tungeamini maneno yako, KILA SIKU UISLAM UNAONGEZEKA, jiulize ingelikuwa dini ya Machizi tungelibaki na...
  10. K

    Indian School Dar es Salaam

    Tukitafsiri kila jina linalozunguka duniani ubaguzi itakuwa shida, mwenyewe fikiria Muhindi akiisikia Young African akufahamishe huu ubaguzi utamuelewa? Ukiondoa mawazo negative hata ukikutana na mbaguzi atajifunza kwako kwamba ana chembe chembe za ujinga.
  11. K

    Shime watanzania tujitokeze kwa wingi kwenda kumpokea rais wetu uwanja wa ndege

    Sio lazima hata wewe kumpokea kwa sababu angelifanya kitu cha maana sana kutibiwa Muhimbili kwani yeye alitakiwa awe mfano kwa anaowatawala pili ikiwa Muhimbili haikukamilika yeye kama kiongozi ana uwezo kuipandisha chart
  12. K

    I Need A Nanny Cam(For Monitoring My Baby While Am Away)

    Matendo mazuri atakayofanyiwa Binti mfanyakazi wa ndani inaweza kuwa sababu kubwa ya kuondoa Roho mbaya ya kufanya upumbavu mwingi akiwa pekee ameachiwa majukumu katika nyumba
  13. K

    Hodi wenyeji wangu,

    Habari za jioni, naona ndani humu mambo safi, michango ya fikra kibao, jioni njema.
Back
Top Bottom