Search results

  1. J

    JR tafadhalini naomba msaada wa haraka!

    habari! tafadhali kwa anayejua jinsi ya ku apply kwa hawa UN volunteers! kama unataka kuvolunteer! maana wametangaza volunteer ila hawajasema jinsi ya kuapply! yaani contact ama form na kwenye web yao sioni! pls kwa anayejua! wametangaza na post pia yaani si volunteer na wameonesha jinsi ya ku...
  2. J

    Serikali inapowakatili raia wake kodi za kuingiza magari: Nini kifanyike?

    Habari za jioni wana JF! Hapa nataka kuzungumzia kidogo bajeti ya 20012/2013 na marekebisho ya kodi ya magari! Iko hivi: a) Hakuna excemption kwa wafanyakazi wa serikali, b) Magari ya mashirika ya dini yatalipiwa kila kitu c) Magari chakavu yanapigwa penalty less than 8 years not 10 years...
  3. J

    Bajeti ya 20012/2013 na marekebisho ya kodi

    Habari za jioni wana JR! hapa nataka kuzungumzia kidogo bajeti ya 20012/2013 na marekebisho ya kodi ya magari! yako hivi a) hakuna excemption kwa wafanyakazi wa serikali, b) Magari ya mashirika ya dini yatalipiwa kila kitu c)magari chakavu yanapigwa penalty less than 8 years not 10 years kama...
  4. J

    mh mwigulu aiharibia CCM

    Jana Bunge liliboa sana hasa huyu mheshimiwa kuonesha upendeleo wa waziwazi! mh Manyanya kaizungumzia hoja ambayo iko mahakamani ingekua ni upande mwingine ungesikia hoja iko mahakamani! ila sisi kama wananchi mwigulu umeiaibisha CCm kwa kuonesha kushindwa kwa hoja na hivyo kukitumia kiti...
  5. J

    Tusaidiane! Yana ukweli ndani yake?????????

    ni kweli jamani! hali ni mbaya sana! ni mbaya kwa kweli! mimi mfano nilisoma education as ma first degree so nilipata ajira moja kwa moja sasa nimesoma post ya monitoring and evaluation (M&E)! ki ukweli kazi hizi zinatangazwa kila siku na na apply kila siku! sija experience kutafuta kazi you...
  6. J

    Tusaidiane! Yana ukweli ndani yake?????????

    saint Ivuga naoma mail yako wewe uwe wa kwanza kunishauri nikutumie Cv yangu! mine is jmgasse@gmail.com! thanx
  7. J

    Tusaidiane! Yana ukweli ndani yake?????????

    asanteni kwa kunitia Moyo! lkn huu uzi unatamani umpate mkunaji! natamini kujua! haya mambo yapo?????????? na km yapo nini suluhusho! tujadili jamani wana JF
  8. J

    Tusaidiane! Yana ukweli ndani yake?????????

    wadau! Morning! jamani hebu tusaidiane! hivi ni kweli kuwa kazi huwa zinatangazwa lkn hiyo Organisation tayari inakuwa na mtu! yaani wanatangaza ili tu kutimiza sera ya recruitment lakini mtu wa ku cover hiyo nafasi anauwepo! kama ni kweli huu ni ukatili wa aina yake! unajua ku apply kazi...
  9. J

    Nilijua nimeshatoka...

    dah! pole sana kuna mahali Mungu kakuandalia pazuri zaidi
  10. J

    wadau msaada!

    ok poa mamushka! hahahh! nimefanikiwa asante sana!
  11. J

    wadau msaada!

    kilahunja siioni kaka! yani nimepata inaitwa applicants@tz.peacecorps.gv wanasema the domain is not found dah! na ndo walioitoa ktk gazeti! ofisi zaao ziko wapi mkuu!
  12. J

    wadau msaada!

    wadau anayefahamu application email address ya US Peace Corps Tanzania! nataka kufanya aplication niliiona email adress yao asubuhi humu kwa sasa siioni! au ile web ya youthjobs nicheki! wadau msaada jamani.
  13. J

    Natafuta kazi YA M&E au Program officer

    huwa nachungulia na apply lkn sipati! nina bachelor ya education na sasa namalizia post graduate ya monitoring and evaluation mlimani!
  14. J

    Nani mwanasiasa unaependezwa naye,ungependa awe role model wako TZ?

    namadmire Mh. Ben! napata raha ata nikimwona anaongea! huwa anajiamini na naonesha kufahamu nini anaongea.......! he is always serious! nam admire sana! mh. slaa kanifanya nipende siasa, Halima Mdee nampenda huwa anajiamini sana wanawake wachache wako kama yeye! Mh mbowe, January Makamba!
  15. J

    Natafuta kazi YA M&E au Program officer

    Jamani natafuta kazi sana sana! au hata intern kwenye NGO's ya M&E au PROGRAM OFFICER! asante kwa corncern
Back
Top Bottom