Search results

  1. N

    Makala za Tanzania Daima ni mwiba kwa JK

    Inasikitisha kuona watu wanakufa serikali haishituki, eti kuunda tume! na kutoa vyeti kwa waokoaji. Kuonyesha kwamba serikali haijali hata siku ghorofa linaporomoka TV binafsi ndo walio katiza ratiba ya vipindi kwa siku na kuonyesha live kilichokuwa kinaendelea eneo la ajali huku TBC(CHOMBO CHA...
  2. N

    Tanzania International University,,,unakijua hiki CHUO???

    "HUO NDO UHURIA WA SOKO HURIA"! Hebu fikilia walipataje ujasiri wa kujitangaza kabla hata hawajasajiliwa? Au kwa nini walichagua jina kubwa kiasi hicho eti Tanzania International University! tusishangae sana kwani kuna hata makampuni ya kutengeneza pombe yalisha tangazia Duninia eti urithi...
  3. N

    Kwanini Tanganyika(Bara) wanang'ang'ania kuendelea kuungana na wasiowataka(Zanzibar)?

    Wazanzibar wanayo serikali yao,bajeti yao,bendera ya taifa yao,rais wao, wimbo wa taifa lao, sasa kupitia wana uamsho wanataka ukristo zanzibar uwe mwiko, JK wetu hataki mjadala wa eti muungano uwepo au la, au msako wa kila mkristo kuuwawa zananzibar utakapoanza ndo Watanganyika mtaona hatari...
  4. N

    Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar

    hoja zilizotolewa na shekh ni nzuri na zinavutia, lakini binafsi sijaelewa kama SMZ wamewachagua wanauamusho kuwa wasemaji wa SMZ? pili, hawa wanauamusho ndio kusema kwamba uwepo wa makanisa Nzanzibar ni sehemu ya kero za muunngano? Je kuna haja ya Bara kuanza kuchoma misikiti ili muungano...
Back
Top Bottom