Search results

  1. Master jay

    Viva Villarreal

    Wametokomea kusikojulikana
  2. Master jay

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Alikuwa analaumiwa sana akifanya error Leo hii kawa lulu
  3. Master jay

    Mvua za Dar

    Hao wataalam wa hali ya hewa, huwa wanachoongeaga sicho kinachotokea, hvyo tumwombe Mungu ajibu km ndoto
  4. Master jay

    TRA kitengo cha leseni za udereva ni rushwa waziwazi

    Ningewapa wao wakakuchukulie hiyo leseni tra
  5. Master jay

    TRA kitengo cha leseni za udereva ni rushwa waziwazi

    Wala sihangaiki, natumia hiyo hyo risiti ya benk kuendeshea gari, nikishawaonyesha trafik wanaikubali unatoa rushwa ya nn na hilo karatasi la benki linakubalika? Uliyetoa rushwa hukufikiria kabla
  6. Master jay

    Sim yangu imejiblock

    Atakuwa kanjibai huyo
  7. Master jay

    Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

    Ww umefanya research Masaki, O'bay, K'ndon, lkn hujafanya Buguruni, Tabata, Kigogo, Mbagala na mikoani. Tecno, tecno, tecno tu
  8. Master jay

    Namtafuta baba yangu mzazi mzee Jovin Machumu

    Pole sana, mimi nilikuwa namtafuta Mzee wangu humu humu, bahati mbaya au nzuri nimeweza kuwapata ndugu zangu, japo mzee alishakufa muda. Utampata tu.
  9. Master jay

    JamiiForums Usiku wa manane

    No game, no gambe
  10. Master jay

    Nimejaribu kumtongoza mchumba wangu kwa namba nyingine, amekubali kesho aje geto na wala hanijui

    Nipe na Mimi namba yake nimtongoze. Ntakutumia picha zake ikiwa getho
  11. Master jay

    Tecno c8 update

    Mimi ninahitaji screen ya f7 original. Nitaipataje?
Back
Top Bottom