Huo waya si charger, hizi hazina mfumo wa kuchaji, unaconnect tu na kifaa chako kinachotumia headphone na kujisikilizia yako na pia zina sehemu ya kupokelea simu, ukihitaji nicheck 0744717206
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko vizuri sana, zimeshiba sound kukufanya uweze kusikia sauti zote zilizopo ndani ya muziki, kuanzia low ends - mid - high ends kwa utulivu kabisa. Pia zina sehemu ya kupokelea simu, na katika ubebaji zinakunjika kirahisi.
mi namuona ni mropokaji fulani ambaye kiundani atakuwa na ajenda zake za siri, sioni kama ana uchungu wa kweli na taifa hili ila anajifanya tu, na kwa kiasi amefanikiwa kupata waumini
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.