Search results

  1. M

    Hivi road licence kwenye budget hii imefutwa?

    Kwani ule ulaji ama inabidi wasaidie wapigakura mna asilimia 80 ya watanzania wapo vijijini na hawana hela hapo ukijumlisha PAYE si matatizo wakati wafanyabiashara wanapeta
  2. M

    Hivi road licence kwenye budget hii imefutwa?

    Mbona nilisikia kama mwaka wa fedha wanaondoa road licence
  3. M

    Hivi road licence kwenye budget hii imefutwa?

    Habari ya asubuhi wadau, Hivi ni kweli road licence mwaka wa fedha ujao 2014/2015 hatutalipia tena? Naomba clarification mwenye kujua.
  4. M

    Walimu Wapya: Mifuko Ya Pensheni Yaanza Kuchezeana Rafu za Chini Chini?

    Yani hii inatokana na mfuko xx kutaka kupata wateja kwa kuwalaghai mpaka wanatoa tshirt na kuwahadaa waajiriwa wapya badala ya kuuza product zao wao kazi ni kusema mifuko mingine je hii ni njia ya kuuza product ama wanaouza hizo product hawana marketing skills
  5. M

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    wapi Crispin Lugongo aka Tumbwisa,sylvanus haule,Aloysia Maneno?kweli RTD ilikua kiboko aisee dah haitakuja jirudia Maskini Abisai Stephen alishafariki kweli hawa watu inabidi waenziwe sana
  6. M

    Ipi ni kozi nzuri kati ya hizi

    Inawezekana hakujui kweli ila cha msingi kila kozi ina maana yake na faida yake na kwa sasa sio unachokisomea sio unachokifanyia kazi!!sasa mfano ndo wewe ungechagua kozi gani kati ya MSc Marketing na MBA Corporate na kwa nini??
  7. M

    Ipi ni kozi nzuri kati ya hizi

    nilichokua namaanisha ni kwamba yani ni ipi kozi nzuri kati ya MSC Marketing na MBA corporate!!kazi sio issue mna mtu anasoma Computer science na anaenda fanya kazi za HR
  8. M

    Msaada wadau

    Hivi masters ya corporate management mzumbe na masters ya marketing mzumbe ipi ni nzuri??
  9. M

    Ipi ni kozi nzuri kati ya hizi

    Habari zenu wadau?mm ni mwanaharakati mpya na nilisoma elimu yangu ya chuo miaka mitatu ya kozi ya it na badae post ya business administration ambayo ni jeneral!!sasa swali langu ni hivi kati ya masters ya marketing na corporate management zote zinazotolewa na mzumbe compus ya dar es...
Back
Top Bottom