Search results

  1. M

    Hamisi Kigwangalla's Letter to Peter Ross Sullivan, CEO Resolute Mining Ltd

    Sikutegemea mtu wa elimu yako kuandika kingereza kibovu namna hiyo.Is it not a collection of english words albeit grammatically poor?
  2. M

    Ujumbe kwa Ezekiel Maige

    Huyu Maige ni kiazi sana,namfahamu kwa muda mrefu,hana msaada wowote hata kwa ndugu zake wa karibu.
  3. M

    Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge wa Igunga Dr. Dalali Peter Kafumu

    Justice should not only be done but should manifestly be seen to be done.
  4. M

    Tujikumbushe mawaziri wazamani

    Hivi wale wenzangu na mimi mnawakumbuka hawa? 1.Waziri wa Fedha Amiri Jamal 2.Waziri wa Afya Aaron Chiduo 3.Waziri wa Sheria Julie Marning 4.Waziri wa maji na nishati Al noor Kassum 5.Waziri wa Ujenzi Samwel J Sitta 6.Waziri wa Kazi Alfred Tandau 7.Waziri wa Elimu Thabitha Siwale 8.Waziri wa...
  5. M

    Ndugai anapokuwa msemaji wa serikali bungeni

    Ndugai na Makinda hawawezi kazi hiyo.Inabidi apatikane mtu wa aina ya Samwel John Sitta.
  6. M

    TANZIA: Mh. Salim Hemed Khamis (CUF) afariki dunia

    Habari zilizonifikia punde ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Chambani(CUF) Salim Hemed Hamis aliyeanguka jana akiwa kwenye vikao vya kamati za Bunge amefarikileo MNH.(RIP).
  7. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Gutram Itatiro Chabanga Hassan Dyamwale Evarist Mwanansao Leons Ngalai Ayoub Kimbao Ukiwaona Ditopile Ramadhani Mzuzuri Omari.
  8. M

    Waziri Mkuu, unda tume kuchunguza NBAA!

    NBAA siyo bodi ya kubabaisha.na hata CEO wake bw.Pius Maneno ni mtu makini na mwadilifu sana,namfahamu tangu akiwa shuleni pale Sangu.BRAVO NBAAA.KEEP IT UP!
  9. M

    Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

    Maskini Nyamboga,kumbe Ndugai ndo alivyo! Namkumbuka sana marehemu kwani tumefanya kazi ofisi moja Mby kabla hajawa RM Kongwa. Damu yako na iwatafune. RIP.
  10. M

    Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

    MAUTI KIUNONI! Maskini Ben RIP.
  11. M

    TANROADS/Magufuli acheni 'usanii' huu kwa watanzania!

    Nchi itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno.
  12. M

    Kikwete, TANESCO inakufia mikononi! Chukua hatua...

    Wamrudishe William Mhando aokoe shirika ili nae ale cha juu kama kawaida yake.
  13. M

    Balozi wa Tanzania akaribishwa mkutano wa CHADEMA London

    Inabidi huyo Balozi ahudhurie tu maana CDM wanaweza kumfikiria ktk ufalme wao come 2015.
  14. M

    Mbeya: Walimu wakamatwa na TAKUKURU kwa kula rushwa za Tsh 500!

    In a favourable temperature an egg turns to a hen.
  15. M

    George Mkuchika, Waziri wa Utawala Bora, janga jingine hili!

    Huyu Mkuchika ilibidi apigwe chini na wenzake kama si huruma ya JK.Hana jipya kabisa!
  16. M

    Kwa nini waliotemwa uwaziri wapokelewe kwa maandamano?

    Jamani nashindwa kuelewa mantiki hasa ya wabunge kupokelewa kwa maandamano pindi warudipo majimboni mwao baada ya kutemwa uwaziri.Au ndiyo staili mpya ya kusafishana?
  17. M

    Wabunge EALA kulamba shs 17 milioni kwa mwezi

    Italeta maana kama watapigania maslahi ya jumuia hiyo kuliko kupigania matumbo yao tu.
Back
Top Bottom