Search results

  1. FREDRICK IHEMBE

    Namna gani naweza kuweka call restriction kwenye simu?

    Nnatumia htc t200. Na samsung gt -E2222 mkuu
  2. FREDRICK IHEMBE

    Naomba msaada jinsi ya ku update Samsung Galaxy Duos GT-S6102

    pia pampja na ushauri ulio pita itakua bora zaid ukwa unaupdate kwa kutumia wireless internet itakua faster zaid kuliko kutumia data bundle simu hiyo hiyo tafuta simu nyingine ya inayo suport portable wifi hortspot then washa wireless kisha anza ku update itamaliza faster na data zako zote...
  3. FREDRICK IHEMBE

    Namna gani naweza kuweka call restriction kwenye simu?

    habar wakuu...nnatambua wazi kabisa u wezo mkubwa uliomo ndan ya jukwaa hili , nnaombi. moja kwa yeyote mwenye uzoefu na jinsi ambavyo unaweza kufanya namba flan pekee isikupate hewani hata kama upo hewan kwa mtandao wa voda na tigo natanguliza shukran kwa wote mtakaoguswa na thread hii na...
  4. FREDRICK IHEMBE

    Ifunda tech secondary school

    download hii atachment
  5. FREDRICK IHEMBE

    Mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za heslb

    <strong><em><em>Habari wana jukwaa , nilikua naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za loan board kwa continuing students , maana nakumbuka mwaka jana tuli update ila mwaka huu nimejaribu mara kadhaa ku log in kwenye account yangu ya HESLB inagoma ina andika...
  6. FREDRICK IHEMBE

    Mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za heslb

    Habari wana jukwaa , nilikua naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za loan board kwa continuing students , maana nakumbuka mwaka jana tuli update ila mwaka huu nimejaribu mara kadhaa ku log in kwenye account yangu ya HESLB inagoma ina andika kua taarifa sio...
  7. FREDRICK IHEMBE

    Msaada wakuu humu ndani

    heshima kwenu. nmedownload adobe photoshop cs2 tatizo lipo kwenye installation inahitaji serial # na mm nmedownload setup peke yake kwa yeyote anaye weza nisaidia hizo serial namba naomba msaada. natanguliza shukurani.
  8. FREDRICK IHEMBE

    msaada wa ku update

    wakuu heshima kwenu , nnaomba msaada kama kuna yeyote mwenye utaalamu wa ku update samsung windows phone maana nmejarib ku update kila mara inagoma
  9. FREDRICK IHEMBE

    Msaada jamani

    vile vile unaweza kuitumia IDM bure kwa kfanya cracking other tym ukihitaji
  10. FREDRICK IHEMBE

    Msaa wataalamu juu ya laptop hii

    kwa ushauri zaid bora ujikaze ununue laptop mpya maana kuna za laki 490000 mpya na unapata warrant ya mwaka mzima hard disk320 ram2gb procecor cjafuatilia vzur maana mshikaji kanunua hzo used baada ya week 3 display ikaea imekufa ikamgharimu tena kutafuta fundi mwisho wasiku cost ikawa mlemle...
  11. FREDRICK IHEMBE

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mwenyezi awabariki wote kwenye huu mchezo
  12. FREDRICK IHEMBE

    Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

    sawa mkuu naendelea kupitia then ntatoa feedback
  13. FREDRICK IHEMBE

    Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

    hongera, ila kuna baadhi ya weakness nimeziexperience kwa harakaharaka, mfano baadhi ya maneno maana zake hazionekani. kwa mfano neno joy ,original, pia kuna baadhi ya maneno yana miss ambayo ni key wors ila iko vizuri baadhi ya sehemu kwa mfano ina respond vizuri japo haiko fasta
  14. FREDRICK IHEMBE

    Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

    i succeeded to download it let me test then i will give feed back
  15. FREDRICK IHEMBE

    Msaada kuhusu pd proxy

    Naomba msaada jinsi ya kutumia pd proxy kwenye voda maana na scan pd proxy znagoma
  16. FREDRICK IHEMBE

    Msaada wa SerialNumberza IDM

    na mkuu naomba unisaidie my no . 0764013782
  17. FREDRICK IHEMBE

    Jua Samsung Feki

    nat only that but unaweza pia kutest kwa namba*#2222# name pia*#1234# ka no original ita respond command ila kama no fake haitalubali
  18. FREDRICK IHEMBE

    MSAADa WA GALAXY S4

    ntajaribu kwenda
  19. FREDRICK IHEMBE

    MSAADa WA GALAXY S4

    Napenda kuwasilisha mada kwenu ,Ni simu ya samsung galaxy S4 imepoteza ile orginal boot screen ya samsung s4 baada ya kua nmerestore nilipo iwasha inaleta bootscreen ilo andikwa android nmejarib kupitia pitia nujuayo mm kama kufanya recovery ila imenishinda kuirudisha katika hali ya kawaida...
  20. FREDRICK IHEMBE

    msaada wakuu kwa hii sim wataalam

    naomba msaada wa kurudisha bootscreen kwenye simu aina ya samsung galaxy S4 wakuu nilikua naifanyia Restoration ili niweke account mpya baada ya hapo nilipo washa inaniandikia android ile icon ya Samsung glxys4 imepotea tangia hapo nisaidien wiki kuirudisha
Back
Top Bottom