Mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za heslb

May 6, 2012
45
1
<strong><em><em>Habari wana jukwaa , nilikua naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za loan board kwa continuing students , maana nakumbuka mwaka jana tuli update ila mwaka huu nimejaribu mara kadhaa ku log in kwenye account yangu ya HESLB inagoma ina andika kua taarifa sio sahihi nnaomba yeyote mwenye tarifa kuhusu hili anifahamishe tafadhali...<br>
</em></em></strong>
 
Heslb wamesema continous wasiohitaji mkopo ndio wapeleke taarifa ila wao wataangalia taarifa za matokeo ya mwisho mwaka wanayopelekewa na vyuo.
 
Back
Top Bottom