Naomba mnistue watakapoanza kujadili mambo mawili tu.
1.Kuondoa kinga za kutohoji matokeo ya uchaguzi wa Raisi mahakanani
2.Adhabu atakayopewa mtu yeyote anayevuruga uchaguzi. Kwa namna yoyote kama kuiba kura,udanganyifu n.k
Kwa Sasa bora nifuatilie habari za AFCON tu.
.
Kwa muda sasa tumekuwa na kasumba ya kujiona kila mmoja wetu ni wa maana kuliko mwingine.
Kasumba hii imepelekea wengine kujiita Waheshimiwa.
Wengine wasomi,Maofisa usafirishaji n.k.
Kwa kweli mimi binafsi sipendezwi na Kasumba hii kwani haitujengei umoja kama Taifa bali unatugawa katika...
Ili kuleta maendeleo ya kweli,napendekeza yafuatayo:-
1.Tubadilishe mfumo wa ajira ili watu wengi wavutiwe na ajira za kwenye sekta za kilimo,afya na elimu.
Ifike mahala mtu aone kuwa mwanasiasa hailipi kama kuwa mkulima au mwalimu tofauti na sasa ambapo watu,pamoja na taaluma walizonazo...
Nimekuwa nikifuatilia mjadala wa Mpango wa maendeleo uliosomwa Bungeni katika kikao kinachoendelea hivi sasa huko Dodoma.
Pamoja na mambo mengi mazuri ambayo mpango umekuja nayo, ningeshauri swala la ukosefu wa ajira liwekewe mkakati maalumu wa kulitatua.
Itakumbukwa kuwa Serikali imewekeza...
Hayo mahela ya kufundishia elimu ya Katina Bora yatumike kujenga japo ka barabara ka lami wilayani kwetu na kutupatia ka umeme na tumaji yes Bomba pale kijijini kwetu.
Kama chenji ikibaki ndo watafune kwa utefu wa ma kamba yao.
Ni kweli watanzania walo wengi hawaijui katiba iliyopo nikiwemo mimi mwenyewe.
Lakini ninafahamu kuwa kila jambo lina faida na hasara pia.
Sitaki kuongelea sana hasara inayotokana na huu ujinga (kutojua katiba) wetu.
Faida moja kubwa ya huu ujinga ni Amani na Utulivyo tulionao watanzania...
Sipati picha.
Hiiyo elimu ya Katina itatolewa kwa utaratibu gani?
Muhtasari wake utakuwaje?
Walimu Gani?
Madarasa yepi?
Nanusa harufu ya upigaji wa Yale mabilioni bila matokeo chanya.
Nimkuwa nikifuatilia kwa muda mrefu takwimu zinazotolewa na polisi kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na janga la Ajali za barabarani zikionyesha kuwa bodaboda ndo chanzo kikuu Cha Ajali hizo hasa mijini.
Pamoja na ukweli huo kudhihirika,Bado mamlaka zinazohusika hazichukui hatua...
Pamoja na Bunge kupitisha Azimio la kubariki Makubaliano ya Uwekezaji kwenye Bandari zetu kati ya Nchi yetu na ile ya Falme za Kiarabu,Mimi Nina maswali machache ya nyongeza.
1.Kama ni kweli Makubaliano haya ni kati ya Nchi na Nchi,kwa nini kwa upande wa Tz aliyesaini ni waziri wa Uchukuzi na...
Kwa kiwango Fulani Msukum Yuko sahihi ingawa sio kwa asilimia 100.
Kwa muktadha wa mfumo wa elimu yeti, Msukuma yuko sahihi kwa kuangalia jinsi Wahitimu wetu wanavyoweza kuitumia elimu wanayoipata mashueni na vyuoni wanapohitimu.
Lakini ni kweli pia kwamba elimu ni mhimu kwa maendeleo ya mtu na...
Hii ni kama ku discourage kujenga maghorofa.
Mimi naona wenye maghorofa ndio wangepewa unafuu zaidi ili ku encourage ujenzi wa maghorofa zaidi maana wanasevu maeneo kwa kuitumia vilivyo ardhi tuloyonayo.
Hata kama kusingekuwa na upendeleo huo, haiingii akilini eti mwenye sakafu mbili analipa...
Ndugu wadau wa Jf, Ningependa kuiasa serikali yetu tukufu kupitia wizara ya elimu izingatie swala zima la maadili katika kutengeneza mtaala mpya wa elimu.
Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa jamii yetu tunaoushuhudia leo linatugharimu ,si tu ustawi wa jamii yetu bali pia ni kikwazo kikubwa cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.