Search results

  1. Avaya

    Natafuta mume Mkristu

    Thanks for remainder Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Avaya

    Natafuta mume Mkristu

    Asante mwaya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Avaya

    Natafuta mume Mkristu

    Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Avaya

    Natafuta mume Mkristu

    Habari za humu ndani wanajamvi, Mm ni bint mwenye miaka 28 natafuta mwanaume atakaekua mume wangu kama tutafikia muafaka huo. Sifa zangu Mkristo nilieokoka nampenda Yesu Miaka 28 elimu diploma Naishi Dar es salaam Kazi bado cjapata ika najishughulisha na biashara ndogondogo Kabila mchaga kutoka...
  5. Avaya

    Tanzia: JF tumempoteza Member mwenzetu K007

    R.I.P Kenny(K007)
  6. Avaya

    msaada

    Kwa msaada wa uhakika benda hospital kuliko kumeza dawa bila uhakika wa ugonjwa
  7. Avaya

    Asanteni sana Wapendwa

    Pole sana mpendwa Mungu akupe nguvu na maarifa ya kulea watoto
  8. Avaya

    Ili upendwe fanya yafuatayo

    Tusipopenda hela wanaume hawatatafuta kwa bidii ili umpate mwanamke unaemtaka lazima uwe na hela km huna hela hutapata mwanamke unamtaka ww
  9. Avaya

    Jamani naombeni ushauri juu ya hili

    Mwambie rafiki yako asiogope wala asiwe na wasiwasi asilimia kubwa na wanaofunga ndoa wanakua wameshavunja amri ya sita(usizini) mimba ni matokeo ya walichokua wanakifanya cha msingi ni kumweleza mchungaji kabla ya mafundisho ya ndoa ili mrudi kundini kwa walutheran wataelewa na siku ya harusi...
  10. Avaya

    kila nikimwambia ku do anazingua

    Ukiona hivyo huna muelekeo mzuri unataka kumdoo tu fanya mpango uoe co kudoo tu huo ni unzinzi
  11. Avaya

    Picha zA TUKIO ZIMA LA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA KATOLIKI HUKO ARUSHA

    Wana Arusha na Watanzania kwa ujumla poleni sana tuendelee kuomba sana jamani
  12. Avaya

    Yupi rafiki wa kweli?

    Mpz wako ndio tatizo kubwa hakujiheshimu kwa shemeji yake ndo maana akakubalina pia inawezekana hana mapenzi ya that kwako ndo maana kaamua kufanya hayo.
  13. Avaya

    Hii ina maana gani jamani?

    yaani huyo anataman kujirudi lakin hana jinc ndo maana anakutukana na kukuchokoza elimradi tuu mawasiliano yarudi achana nae huyo endelea kukuaa kimya atachoka
  14. Avaya

    Natafuta rafiki wa kike ambaye baadaye atakuwa mchumba wangu.

    sifa zako na sifa za rafiki unaemtaka
  15. Avaya

    He doesn't walk his talk!

    Nmekukubali miss Lara 1 unamawazo na nia nzuri na wanawake
  16. Avaya

    naombeni msaada

    mtumie private message
  17. Avaya

    Maajabu ya mwezi huu wa desemba,2012

    Asikudanganye mtu hakuna mwenye siri juu ya mwisho wa dunia hizo ni habari za kizush zinazowaingizia baadhi ya watu :glasses-nerdy:kipato
  18. Avaya

    Nahitaji mwenza wa maisha

    mm nashindwa jinsi ya kukupm nielekeze fasta nakuja
Back
Top Bottom