naombeni msaada

Disminder girl

Senior Member
Nov 26, 2012
156
26
mamboz wana jf
jaman wana jf wenzangu me ndo nimejiunga unga hv karibuni humu jf sasa nataka kujua m2 akisema um pm anakuwa anamaanisha nn?
 
Duu kuna watu watata sana kwa kuomba pm, huyu bila shaka atakua ni yule mzee wa kugegeda.
 
mamboz wana jf
jaman wana jf wenzangu me ndo nimejiunga unga hv karibuni humu jf sasa nataka kujua m2 akisema um pm anakuwa anamaanisha nn?

tayari nimeshaku pm nenda kwenye inbox yako utaikuta.
sie tunafanya mambo kwa vitendo bibie
 
Back
Top Bottom