Search results

  1. M

    Uozo uliopo St. Mathew's secondary school

    Mimi ninachoona siyo fair kukubali m2 anyanyase binadamu wengine kwa sababu kabila lina tabia hiyo. cha muhimu ni kumuwajibisha
  2. M

    Uozo uliopo St. Mathew's secondary school

    i will make sure nitamuwajibisha
  3. M

    Uozo uliopo St. Mathew's secondary school

    more than 1000000. Externally ile shule ni kubwa na watoto wengi wa viongozi wa juu husoma pale
  4. M

    Uozo uliopo St. Mathew's secondary school

    mimi naona dawa ni kumuwajibisha. hata wakimtetea. acha hilo tu, alishawahi kuwashikia walimu bastola. ni kweli hawa walimu waliopewa redundance illegaly wana haki ya kushtaki ila wengi wao wanaogopa kuingia mikononi mwa huyu dictator. mweye uwezo wa kuwasaidia hata ki ushauri wawasaidie...
  5. M

    Uozo uliopo St. Mathew's secondary school

    Tatizo mwenye shule ana mkono wa serikali. hata hiyo wizara ya kazi itagonga mwamba kwani wataishia getini. haiwezekani awe na kiburi namna hii.
  6. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Mimi ni muajiriwa wa kampuni inayofuata sheria zote za kazi. Ninaposimuliwa unyanyasaji unaofanywa na baathi ya waajiri eti kwa sababu wana mkono mrefu waserikali inauma sana. Naizungumzia St. Matthew’s secondary school (mkuranga-coastal region) kongowe mkuranga. Yaani nilielezewa ikaniuma...
  7. M

    Unyanyasaji wa waalimu

  8. M

  9. M

    Uozo uliopo St. Mathew's secondary school

    Mimi ni muajiriwa wa kampuni inayofuata sheria zote za kazi. Ninaposimuliwa unyanyasaji unaofanywa na baathi ya waajiri eti kwa sababu wana mkono mrefu waserikali inauma sana. Naizungumzia St. Matthews secondary school (Mkuranga coastal region) Kongowe Mkuranga. Yaani nilielezewa ikaniuma...
Back
Top Bottom