Search results

  1. Magembe R. Malima

    Speed ya dunia dhidi ya speed ya ndege na mawingu imekaaje hapa

    MzeeMeko umeridhika kuwa swali lako limejibiwa?
  2. Magembe R. Malima

    RUSSIA na IRAN wasema Watajibu kama US wakivuka Mstari mwekundu kwa Mara nyingine

    Kabla ubishi haujaenda mbali sana labda tuwasikie Warusi wenyewe kupitia chombo cha serikali yao: Kremlin Unaware About Assad Allies' Alleged Statement on US Crossing 'Red Lines'
  3. Magembe R. Malima

    Captain Jack Sparrow

    Joshamee Gibbs: Jack, I have to ask. You had the Chalices, the water, the tear. You could've lived, maybe, forever. Jack Sparrow: The Fountain does test you, Gibbs. But better to not know which moment may be your last, every morsel of your entire being alive to the infinite mystery of it all...
  4. Magembe R. Malima

    Je! ni kweli dunia inazunguka jua?

    Asante kwa swali zuri, fupi lakini gumu kidogo. Najibu hivi: Sayansi ina msingi wake wa kuutafuta/kuujua ukweli. Msingi huu ni utafiti/research. Ili jambo liwe ndiyo (ukweli) ama siyo (uongo) linahitaji kufanyiwa utafiti ambao huja kuthibitisha juu ya uwepo wa ukweli huo. Mfano ikiwa tuko mwaka...
  5. Magembe R. Malima

    Je! ni kweli dunia inazunguka jua?

    Mambo vipi abdulrahmana !! Ningependa nikujibu maswali yako. Angalizo, sijasoma kila bandiko katika uzi huu hivyo huenda kuna baadhi ya maswali yameshajibiwa. Hata hivyo utaratibu wangu wa kujibu ni huu, Kusiwe na jazba Mjadala uwe wa hoja na ushahidi pale inapowezekana. Kupinga jambo kuwe...
  6. Magembe R. Malima

    History in the making: NASA’s Juno spacecraft arrives at Jupiter!

    Habari, Pole kwa mgogoro katika mada. Nikwambie tu kuwa SAYANSI HUIJUI KWA KIWANGO KINACHOTOSHA. Unapomwambia mtu achunguze kabla ya kushangilia wewe pia unatakiwa kufanya vivyo hivyo. Sasa soma hapa: Si kweli kuwa wanasayansi "WOTE" hawaamini kuwepo kwa Mungu.. tatizo ni mitizamo ya dini...
  7. Magembe R. Malima

    Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

    Nyie ndiyo mnasababisha taifa lionekane lina................. kumbe wengine ni.............................
  8. Magembe R. Malima

    Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

    Umeelewa lakini nilichoandika? Ukisoma "kifalsafa" mtiririko wa bandiko langu utagundua kuwa binafsi sina neno na jina lako bali ilikuwa ni satire/parody/irony kwa waliojikita katika hilo. Soma tena. Ndiyo maana nikasema katika aya ya kwanza "kibinadamu".. kuashiria udhaifu/bias ya binadamu...
  9. Magembe R. Malima

    Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

    Chizi Maarifa, kwanza naanza kutoa lawama kwa jina la utambulisho ulilotumia (ID). Linachangia sisi tukushambulie. Kati ya chizi na maarifa nafikiri chizi ndilo neno baya hivyo "kibinadamu" tutalichagua hilo baya badala ya zuri. Hivyo wewe ni Chizi. Sasa kuhusu mada uliyoweka, sitazungumzia juu...
  10. Magembe R. Malima

    Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

    Shangazi FaizaFoxy naunga mkono bidii yako ya kusahihisha makosa katika matumizi ya lugha ya Kiswahili. Siku hizi neno "wimbo" linaitwa nyimbo. Waathirika wakubwa wa kosa hili ni vijana, hii ni ishara kuwa vijana hawajisomei au hawasomi vyanzo sahihi vya lugha fasaha. Hata hivyo wewe binafsi...
  11. Magembe R. Malima

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Wabeshi aaah! Wabeshi. Mwadui ya kipindi hicho na kabla ya hapo iliitwa London ndogo. Sasa imechoooka. Niko Mwadui dakika hii.
  12. Magembe R. Malima

    Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Ni sawa na ninaafiki. Sasa napumzika rasmi. Naona hapa tuko katika ujenzi wa mnara wa Babeli (Tower of Babel)/(Babylon), ila Alpha Blondy alisema, We want peace in Liberia Peace in Monrovia We want peace in Liberia...
  13. Magembe R. Malima

    Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Ndiyo maana nikaongeza sentensi, "Sahihi zaidi ANA UWEZO". Kauli ya "Hawezi kufanya" inaweza kuandikwa loosely "He won't do it." AU strictly "He is unable to do it." AU "He can't do it." Kama unamaanisha "He won't do it (since it is silly)." then FINE. Ila kama pia unamaanisha "He is UNABLE to...
  14. Magembe R. Malima

    Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Aaah, inaonekana haya nayoandika hayaeleweki. Mbona mi naandika lugha rahisi tu!!?? Nitafafanua. Madai kuwa hana uwezo kwa kuwa uwezo wake una ukomo, hayo ni madai yako kwa upande unaoushikilia na ndiyo msingi wa Omnipotence Paradox. Msingi wa Omnipotence Paradox uko based na logic ya binadamu...
  15. Magembe R. Malima

    Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Jibu langu ni hili hapa chini ananijibia einstein newton : Nashukuru kwa umakini wako katika statements za mleta mada, kama unavyohitimisha hapa chini: Haya, tuachane na kujichanganya kwa mleta mada, acha nijibu mimi kama mimi. Ninachojadili hapa ni kujaribu kutengeneza suspicion (hence...
  16. Magembe R. Malima

    Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Ikiwa kauli yake "Hawezi kufanya" ina maana "hana uwezo" wa kufanya, basi inamaanisha, kwa msimamo wake, Mungu hana Omnipotence.
  17. Magembe R. Malima

    Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Anaweza kufanya. Sahihi zaidi Ana uwezo wa kufanya.
  18. Magembe R. Malima

    Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Aaah haya bana!! By the way, so far hadi sasa sijaona source yoyote ya kisayansi inayoonesha kuwa space (even beyond universe) ni finite zaidi ya thread hii. Nimefuatilia hoja za akina Stephen Hawking, Theory of Relativity etc sijaona popote inaelezwa kuwa space ni finite ultimately (Finitiness...
Back
Top Bottom