Search results

  1. nameless girl

    Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    Mi nadhani sio ustaarabu kumpeleka mtoto sehemu bila kumuwekea mazingira ya usafi. Mtoto anajisaidia popote kwenye nyumba ya mtu mwingine, si sawa.
  2. nameless girl

    Mwanaume mwenye aibu...

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. nameless girl

    TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

    Maharage angetoka tu, hawezi hii sehemu, anatuunguzia vitu.
  4. nameless girl

    Seleman Mdabi anatafutwa

    Hivi ukiandika uwa unasoma ulichokiandika? Na unategemea mtu akutegeshee namba mtu wa aina yako mwenye akili za namna hii? Acha shobo. Unapata wivu hadi kwenye matatizo ya watu? Mambo unayoyafanya ni ya wadada ambao hawajitambui. Sasa hii akili yako utegemewe na familia, watatoboa kweli...
  5. nameless girl

    Seleman Mdabi anatafutwa

    Upuuzi! Huna jipya. Bora ungekaa kimya.
  6. nameless girl

    Seleman Mdabi anatafutwa

    Una stress za maisha… Kama huna la maana kaa kimya. Unadhani kila mtu anafikiria upumbavu kama unavyofanya! Na hapo we ni mwanaume umekaa kufikiria ujinga…
  7. nameless girl

    Seleman Mdabi anatafutwa

    Unanifahamu? Au kuna jambo unalitafuta?
  8. nameless girl

    Seleman Mdabi anatafutwa

    Amepotea August hadi leo
  9. nameless girl

    Seleman Mdabi anatafutwa

    Sio ya kwenye dp
  10. nameless girl

    Seleman Mdabi anatafutwa

    Nimeweka mkuu
  11. nameless girl

    Seleman Mdabi anatafutwa

    Habari? Kwa yeyote ambaye amemuona mtu huyu pichani, tafadhali ninaomba msaada wa taarifa. Majina yake ni Seleman Mdabi Ni daktari katika Dispensary iliyopo Tabata kinyerezi. Kabila lake ni Mnyiramba. Kwa sasa ni mgonjwa. Amepotea tangu mwisho wa mwezi wa nane hadi Sasa. Makazi yake ni Tabata...
Back
Top Bottom