Search results

  1. shikolo

    Tanzia: Msanii wa Muziki wa Asili, Che Mundugwao, afariki

    Hakufungwa alikuwa anashikiliwa mahabusu ya segerea kwa kesi ya kukutwa na passport zaidi ya moja na kesi hata ilikuwa haijaanza kusikilizwa amekaa mahabusu mwezi wa sita angefikisha miaka mitatu kwani alifungiwa dhamana ila amefia muhimbili alikokuwa amelazwa kwa takribani miezi mitatu kwa...
  2. shikolo

    Tanzia: Msanii wa Muziki wa Asili, Che Mundugwao, afariki

    Dhamana ilikuwa imefungwa kwenye kesi yao,Ndugu zake wamewatolea nje hawahitaji misaada yao hakuna mbwembwe kabisa ni kawaida tu kama msiba wa mtu wa kawaida, watafanya mbwembwe zao kwa tajiri Seki labda.
  3. shikolo

    Tanzia: Msanii wa Muziki wa Asili, Che Mundugwao, afariki

    Msiba upo Tegeta kituo cha Azania unavuka upande wa pili na kurudi nyuma kama unarudi mjini hapo ukiuliza utaonyeshwa sio mbali, ila jamaa wasanii wenzie walimsusa sana alikuwa anahitaji hata watu wa kumchangia damu hawakuonekana amelazwa Muhimbili almost miezi mitatu , apumzike kwa amani...
  4. shikolo

    Wanawake mna roho mbaya kama nini, ah!

    mke alieachwa pamoja na ndugu walivalie njuga hilo tatizo iwe ni kwa maombi ya uhakika au kwa upande wa pili uchawi wa aina hiyo upo jamani pengine hata kamemvuta kwa dawa kutokana na uwezo wake kifedha daah inasikitisha sana
  5. shikolo

    Nani anayesikiliza clouds Njia panda ya leo?

    Wanaume watatu wote wameambiwa mimba aliyonayo Sara ni yao na wanaamini hivyo baadae kawageuka wawili na kumnga'ng'ania mmoja ambae ametoa mahali nadhani na gharama za kutosha :hii ndio dunia zaidi ya uijuavyo
  6. shikolo

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Ipo znz,Nanga nayo ipo Igunga
  7. shikolo

    Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

    Wewe unamzungumzia Fikiri Madinda aliekuwa mme wa Aisha Mbegu Madinda huyu ni Papaa Msofe
  8. shikolo

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Age is nothing but a number kama unampenda kwa dhati hakuna tatizo tii moyo wako unavyokuambia ila kama huna mapenzi ya dhati yakiisha hayo mapenzi utamuona ni mzee na hasa ukiwa na mwingine pembeni mwenye umri mdogo hivyo kuwa na uhakika kabla hujaamua
  9. shikolo

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Kindokyakombe na kindokyakosembe moshi to kilema hapo tumefunga shule Ashira girls tunayangojea marangu mtoni yamejaa watu hasa
  10. shikolo

    home work...

    Nyanguge, Lugeye,chabura,bundilya,Ilungu - hivyo viko Magu - Mwanza
  11. shikolo

    home work...

    Nyanguge, Lugeye,chabura,bundilya,Ilungu
  12. shikolo

    home work...

    Nyanguge, Lugeye,chabura,bundilya,Ilungu
  13. shikolo

    Hellow

    Karibu sana mgeni jisikie uko nyumbani kwa kutoa mchango wako na kumwaga ma like kwenye michango inayokugusa
  14. shikolo

    Hello wana JF

    Karibu sana Fimbo ya musa
  15. shikolo

    hi

    Hujatulia Ndibalema nimecheka kweli.Mgeni karibu sana utajifunza mengi humu natumaini utayafurahia
  16. shikolo

    Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

    Hawawezi kuwa wabaya kama baba yao uzuri wa mama nao uatawasaidia
  17. shikolo

    Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

    Hata uwe na sura mbaya ajabu ukiwa na pesa ya maana utampata mwanamke mzuri umpendae sura inatakatishwa na pesa bana
  18. shikolo

    Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

    Hamna kasoro lakini?@Erickb52@Asprin Kaizer
  19. shikolo

    Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

    Mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kuweka na kutoa pesa kwenye wallet ha ha haaaaaa
Back
Top Bottom