Search results

  1. D

    Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Bombo primary school Tanga
  2. D

    Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

    Yaani anashushwa na magari halafu anakuambia akikufumania atajiua!!!Kaka hapo wewe unashida pia,straight mwambie tabia zake hazikuridhishi na kama haachi bora muachane magonjwa mengi siku hizi,halafu nadhani yeye hajafika kwako ila wewe ndio umefika,ni ngumu sana mwanamke akuonyeshe vituko live...
  3. D

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Lacoste Live by Lacoste by Lacoste 170000/= ila kuna nyingine nzuri tu Kama 212 For Men by Carolina Herrera,Hugo red by Hugo boss hii nayo ni nzuri,au kama uko na hela nyingi tafuta product za Torm Ford au Giorgio Armani especially Emporio Armani au Aqua Di Gio ni nzuri na nilishazitumia pia.
  4. D

    NSSF waja na hoja tatu kuhusu fao la kujitoa

    Hana pointi yoyote ya maana hapo!
  5. D

    Mkuu wa Mkoa wetu anahitaji Mshauri Nasaha. Anatembea haoni pa kushika, anapapasa usiku wa giza nene

    Hakuna jambo jema katika maisha kama kuwa mtu wa kujishusha na kuwa mnyenyekevu mbele za watu.Wanasema being down to earth.
  6. D

    Uongozi wa kanisa KKKT utoe tamko haraka kuhusu yaliyojiri Jana Kimara

    Lutheran ilikuwa enzi za akina askofu Kolowa,Mshemba,Sendoro,Mshana etc,upuuzi huu sidhani kama ungetokea,wale wazee walikuwa makini na hawayumbishwi kijinga.
  7. D

    Uongozi wa kanisa KKKT utoe tamko haraka kuhusu yaliyojiri Jana Kimara

    Hapa ndipo mtu unapoanza kukata tamaa na kanisa hili ambalo limenikuza tokea mdogo hadi leo na mimi ni mtu mzima,kanisa halipaswi kutumika kisiasa namna hii na sidhani kama makonda ni mlutheri!!Yule mchungaji alinibore sana jana kwa kweli,anadanganywa na mifuko ya cement!Mbona kila mara watu...
  8. D

    Niliapa kuyafuta machozi ya mke wangu mpaka naiaga dunia

    Hongera mkuu,mungu huwa hamtupi amuombae na mwenye nia ya ukweli,endelea hivyo hivyo huku ukimkataa shetani kwa nguvu zako zote na baraka za mungu utaziona kwa wingi.
  9. D

    Wake kwa waume naomba tujadili hili...

    Tatizo kabla ya ndoa watu wanapoenda kwenye mafundisho ya ndoa huwa hawasikilizi kwa umakini au kuelewa,watoto kwa jinsi ninavyoamini na tulivyofundishwa wakati wa maandalizi ya ndoa ni zawadi kutoka kwa mungu,na mtoto ni mtoto tu awe wa kike au wa kiume,unachopaswa ni kumshukuru mungu kwa...
  10. D

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Hizo passport ni za nchi gani?Na siku zote waliishije nchini?
  11. D

    Ushauri: Anataka nihamie kwake alafu ndoa tufunge baadae

    Angalia vizuri motive ya huyo jamaa kabla hujaenda,maana unasema ana watoto watatu na kila mtoto na mama yake,sasa hao akina mama wengine wako wapi?Na kwanini alilipa mahari na akakubali kuachana na wewe?Je kiafya sasa hivi yuko sawa?
  12. D

    Uvumilivu unanishinda, nashindwa kutunza usichana wangu

    Omba mungu akuepushie tamaa za kimwili,uzinzi hauruhusiwi ktk dini zote.
  13. D

    Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    Dah,na unaandika post kama hii kuomba ushauri!Humuogopi mungu?Unawezaje kumsaliti mumeo kisa kafukuzwa kazi,na kwanini wakati ana kazi hukumuomba akufungulie miradi?Mi naona hiyo ni tabia yako hizo ni excuses tu ili uhalalishe uzinifu wako.
  14. D

    Perfume gani ya kiume au ya kike ambayo ipo romantic na inakaa kwenye mwili kwa zaidi ya mwezi 1?

    Ingia google ucheki perfume.com pale utaona perfume zote nzuri za kike na za kiume,na nyingi zinauzwa hapa dar kwenye maduka makubwa pale mlimani city,maeneo ya namanga,kuna duka la walebanon pale mitaa ya peakok hotel ila sijui kama bado lipo.
  15. D

    Ushauri please, mke wangu simuelewi, nimemkuta anasagana na mama yake

    Hukuona dalili zozote mbaya kwa mchumba wako kabla ya ndoa?
  16. D

    Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini?

    Watu wa namna hiyo wapo wengi sana cha msingi ni kutojenga mazoea ya kuchukua staff wenzako kuwapeleka kwako wakati huwajui nia zao,kuwa na gari au makochi sio utajiri ni mipango tu ya mtu,kuna watu wanaishi mjini lakini ni wakulima wazuri tu sasa akivuna mazao mengi akauza akaamua kununua gari...
  17. D

    Tabia hizi za kinadada sizipendi, bora nisiwe na msichana

    Huyo msichana anafanya kazi?Kama hafanyi na mmekubaliana kuwa wapenzi amuombe nani?Ila mchunguze style yake ya maisha kama ni mtu wa kupenda vitu vya juu ujue atakusumbua kutokana na tamaa zake,
  18. D

    Aibu! Kibada Primary School, shule iliyopo 12KM kutoka Ikulu haina madawati, wanafunzi wanakaa chini

    Baadhi ya maeneo barabara zinatisha kwa mawimbi na ukienda hovyo unaweza pata ajali,hata maeneo ya kimara kuna sehemu ni kama lami imejikusanya sehemu moja na panaanza kuwa na handaki.
Back
Top Bottom