Search results

  1. G

    Kiponda, Zanzibar: Majengo mawili yaungua moto usiku huu (Jan 19, 2016)!

    Nini tena? Ni bahati mbaya au tena.....
  2. G

    Ripoti ya kutekwa, kuumizwa Kibanda hii hapa

    Weka ripoti watu wachambue wenyewe na wajue mbichi na mbovu
  3. G

    Daktari afariki kwa maambukizi ya ugonjwa wa ini

    hospital gani na jina lake. Mbona habari haijajitosheleza?
  4. G

    Tanzia: Waziri wa zamani mh. Augustine Mwingira afariki

    Duh. Badilisha kichwa cha habari na Uandike Aliyekuwa waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi awamu ya Kwanza ya utawala wa Mwalimu Nyerere.
  5. G

    FLIGHT 370: Kupatikana kwa ndege ya abiria ya shirika la Malaysia - Inawezekana?

    hii ndio shule inayotakiwa hapa jf. Asante sana lwa elimu hii.
  6. G

    Dr Bahati Kaluwa katutoka

    Dah! Pole sana Dr. Grace, class mate wangu. Dr. Bahati tumecheza nae sana pool table DARUSO-MUHIMBILI. Mungu amlaze mahali anapostahili. Amen
  7. G

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Kuna walio pata madhara? Huo ni ujenzi hafifu wa majengo marefu.
  8. G

    Telecom interconnection charges down from today

    Hakuna cha kushuka wala nini, ni maigizo tu wametufanyia kuona mitandao mingine wanahama/inakimbiwa na watu ndio wakaona watuzuge kwa staili hii ya kwamba rates zitakuwa sawa
  9. G

    Wahuni wagawana mali za CCM: Waziri Lukuvi, vigogo UVCCM wataharuki

    Hii ni dalili njema kwani mzazi akikaribia kufa au amezeeka sana huwa anagawa urithi mapema isije ikaleta mtafaruku kwa watoto. Sasa wanagawana wakijua 2015 baba hatakuwepo hai tena (ccm). Nyota njema huonekana......
  10. G

    Hii ni siri nzito......

    Msamehe 7 mara 70
  11. G

    JWTZ naFFU waingilia maandamano Mtwara

    uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii:target::bowl:
  12. G

    Afisa uhamiaji Mwanza anusurika kuuawa kwa risasi na polisi

    Limewagharimu usiku wa jana! Na yeye ameingia kwenye mtego kwa bahati mbaya ameuwawa.
  13. G

    mama zetu punguzeni huruma!

    :dizzy:
Back
Top Bottom