Search results

  1. M

    Nani anamkumbuka Mzee Majambo?

    Hivi vijana wenzangu wa zamani, mnamkumbuka mzee Majambo? Alikuwa anavaa vitu fulani hivi miguuni na alikuwa anatembeza na kuuza karanga. Yule mzee alikuwa ananitisha sana na nilikuwa napata wakati mgumu mno nikisika anakuja mtaani kwetu.
  2. M

    The hardest prison to escape is in your mind

    Watu weusi (Tafakari..........)
  3. M

    African Refugees Say Arab Muslims More Racist than Europeans

    African Refugees Say Arab Muslims More Racist than Europeans - ByDaniel Greenfield Confronting Anti-Black racism in the Arab world " Humanity/Man has truly never known or seen a holocaust of greater magnitude, savagery, or longevity than that perpetrated against the people of Africa -Susan...
  4. M

    Watanzania tuungane kuikataa Katiba Nyemelezi

    Wandugu ni ukweli usio pingika kuwa Bunge maalum la katiba lilipokaa kwa mara ya kwanza kulitokea mpasuko mkubwa kati ya wale wanaotetea rasimu ya katiba kama ilivyoandaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Warioba na hawa CCM wanaotaka katiba yao kwa minajili wanayoijua wao na vizazi vyao. Sasa...
  5. M

    Nahitaji kujuzwa zinapotoka Mckenzie (materials)

    Habari za saa hizi wanajamii wenzangu, naomba kuuliza kama kuna yoyote anayejua zinapopatikana materials za mckenzie,ninachomaanisha zinakotoka coz najua Kariakoo na pale mtaa wa Kitumbini hizi materilas zipo nyingi tu ila ningependa kujua source ni wapi?china or?na kama kuna mtu atakuwa na info...
  6. M

    U.S. takes control of $480 million stolen by Nigerian dictator Sani Abacha

    SOURCE :reuters.com Sasa kwanini wasifanye kama hivi kwa zile hela zilizofichwa na hawa majizi yetu kule Uswisi na kwingineko? I didn't know kumbe inawezekana hela kurudishwa?
  7. M

    Current African Leaders ( or political entrepreneurs) have terribly failed us

    Mandela’s legacy: challenge to African leaders Japhet M. Zwana 2014-04-02, Issue 672 Source: http://pambazuka.org/en/category/comment/91214 Why are African political leaders so drenched in opulence while their people are so poor? There are gluttonous heads of state in Africa who fail to...
Back
Top Bottom