Search results

  1. tzengo

    Elvis Musiba wa "Njama", "Kikosi cha Kisasi" ametutoka

    Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema!!!!
  2. tzengo

    Kesi ya Abdallah Zombe: Mashitaka, hatia, hukumu na yanayojiri

    Ni kama ulikuwa katika mawazo yangu mkuu kwani mtu aliyekuwa na cheo kama cha huyu hategemewi kufanya haya.lakini pia mi naona pengine kuna kitu anatumia na kinafanya akili isifanye kazi kwa mwendo wa kawaida maana inaonekana ni kama haziko timamu.
  3. tzengo

    Askofu Anthony Mayalla is no more

    Rest in peace baba Askofu
  4. tzengo

    Aowa Mbwa!

    Kweli duniani kuna mambo!kwa imani za aina hii kazi ipo......
  5. tzengo

    It is 8:45 sir!!!

    A man had been driving all night and by morning was still far from his destination. He decided to stop at the next city he came to, and park somewhere quiet so he could get an hour or two of sleep. As luck would have it, the quiet place he chose happened to be on one of the city's major jogging...
  6. tzengo

    Sinkala (JF Member) kuoa karibuni!

    Mkuu we acha tu,kuna makubwa kwnye nchi yangu ndo yananiliza-ila acha tusiharibu thread, hongera tena mkubwa Sinkala.
  7. tzengo

    Sinkala (JF Member) kuoa karibuni!

    Hongera sana Mkuu Sinkala. Mungu akuongoze kwenye njia unayoelekea na wala usiogope milima kwani penye milima mingi pana miteremko mingi pia.
  8. tzengo

    Harufu hii inatoka wapi; ni miguu, soksi au viatu? Tiba yake nini?

    Ni kawaida kwa miguu(feet) ya binadamu kuwa na sweat glands nyingi na hivyo hutokwa na jasho jingi sana kuliko sehemu nyingine nyingi za mwili. Kimsingi jasho ni mchanganyiko wa chumvi na maji.Pia ni kawaida kwa bacteria kuwepo juu ya ngozi ya binadamu,kwa hiyo bacteria hawa hula jasho la...
  9. tzengo

    Between your legs!

    hey, we unalia au unacheka?, duh.......between your legs!!! mkuu ni tabasamu lenye machungu kwa ndani-umeona mambo ya meremeta?
  10. tzengo

    Between your legs!

    Angels and demons......between your legs before I wake.............between your legs
  11. tzengo

    Wana SESESCO 1990's,mnaikumbuka Chaka?

    Asante sana mkuu, Umenipa furaha sana maana Miaka yote nilikaa Sesesco hadi leo hii sikuwahi kujua asili ya jina hilo. Mkuu Zamaulid hilo la sister Laura kujitoa duniani kama ni kweli ni habari mbaya sana.mchango wa sister Laura kwa SESESCO ulikuwa mkubwa sana na utakumbukwa daima.
  12. tzengo

    Kwanini Liwe gazeti la Msemakweli na Sio Annur

    I salute you mkuu, you've said it all!!!!
  13. tzengo

    Kwanini Liwe gazeti la Msemakweli na Sio Annur

    Mkuu hainihitaji kuwa mwendawazimu kumtambua mwendawazimu.ni nini ulichofanyiwa toka uhuru,kama sio ufinyu wa fikra zako tu.sijakukataza kupiga kelele na hapo umesema vema kwamba zako si hoja ila ni kelele, I'm out.
  14. tzengo

    Kwanini Liwe gazeti la Msemakweli na Sio Annur

    Umejuiliza ni kwa nini yalipewa onyo zaidi?usijaribu kutupandikizia hisia zako za udini zisizo na kichwa wala miguu hapa.wewe unataka magazeti mengine yapewe onyo bila kujali yamekosea au la?hivi huwezi kuwa na fikra zisizo na ubaguzi wowote?unalalamika upate sympathy hata pasipo na...
  15. tzengo

    Mafua yananisumbua long time

    pole sana mkuu sipo, kweli ukizungumzia mafua,hiyo ni kero kubwa kwani hupunguza utulivu wa mtu kwa kiasi kikubwa. kutokana na maelezo yako ni kweli kuwa kuna uwezekano mkubwa sana mafua yako yanasababishwa na allergy ya vitu fulani ambavyo mara nyingi unakutana navyo hasa inawezekana kuwa vumbi...
  16. tzengo

    The best wedding-Tusichangishane tena fedha nyingi!

    Hii imetulia,nimeipenda sana,nadhani ni vema kuiga mfano huu.
  17. tzengo

    Wana SESESCO 1990's,mnaikumbuka Chaka?

    heshima yako mkuu kakalende, naona ulikuwepo sesesco zamani sana sijui unafahamu hilo jina buga lilitokana na nini?maana wengine tulilikuta na hatukujua maana yake japo ilikuwa hatari sana kama ukikamatwa na mwenye jina ukijaribu kulitumia.
  18. tzengo

    Wana SESESCO 1990's,mnaikumbuka Chaka?

    Mkuu konzogwe, umenikumbusha mengi sana hayo majina uliyotaja kweli yanarudisha kumbukumbu zangu singapore.na yale mambo ya kuchunga ng'ombe chaka nakumbuka jamaa wakiwa zamu kuchunga wanapata bondo lao mapema na hakuna mnyengo maana kundi la kina mwita walikuwa hawatanii.nakumbuka miaka kama 5...
  19. tzengo

    Wana SESESCO 1990's,mnaikumbuka Chaka?

    Mkuu robwene bwawa naamini bado lipo. Kuna taarifa nilipata Mr Matu(headmaster wakati ule) alifariki dunia last year. Umenikumbusha Mr katendele nilisikia alipewa ukuu wa shule sijui wapi,na huyo mama rose na wali wake duh.ukiacha bulawayo unakumbuka maeneo ya Alfa & Omega?umenikumbusha pia...
  20. tzengo

    Wana SESESCO 1990's,mnaikumbuka Chaka?

    Mkuu heshima yako. nimesoma chaka nikakumbuka mambo mengi na hadi sasa naamini chaka bado ipo.kulikuwa na mambo ya kunywa kangala na kula machimbo.
Back
Top Bottom