Search results

  1. Omonto wa-hene

    Msaada wa haraka joining instruction shule ya sekondari Kazima-Tabora

    Hawa wenye Joining Instructions Kazima Sekondari mbona hawatokei? Hawaoni kama muda umekwisha nasi tunangoja?
  2. Omonto wa-hene

    Naomba msaada namna ya kujitoa chama cha waalimu Tanzania (CWT)

    Kujitoa CWT ni process fupi na isiyo na Usumbufu. Andika barua kwa Katibu wako wa Wilaya ukipitia kwa Mwajiri wako. Utatoka haraka sana. Hakuna haja ya kutoleana lugha za kuudhi ninazoziona humu. Ila take my word: huwezi kufikia retirement age kabla hujajutia uamuzi huu wa kujitoa! Sent using...
  3. Omonto wa-hene

    Wakenya waanza kulialia baada ya Tanzania kuthibitisha kuanza ujenzi wa barabara kupitia Serengeti

    Barabara ngapi za lami zinapita ndani ya National Parks na Wild Beasts are there to stay! Acheni kelele zenu ninyi Mawakala lazima Barabara ijengwe kwa manufaa mapana ya People of the Lakezone na wale wa Mto wa Mbu!!
  4. Omonto wa-hene

    Ali Mufuruki: Magufuli’s unwavering war against graft and the impact on the economy

    I have assigned myself something productive to my Country. I must initiate a strong move to curriculum designers/developers to adopt in a school system a very important content material to go by the name of CRITICAL THINKING AND ARGUMENTATION. This subject, with no doubt, is likely to mould...
  5. Omonto wa-hene

    Natafuta mwanaume anaejielewa kwa mahusiano na ndoa

    Mariahose tell me Una asili ya Mkoa gani? Wewe ni wa Kabila gani? Unajishughulisha na nini? Ni wa dhehebu gani? From there we start business. Seriously!
  6. Omonto wa-hene

    Nini Maana ya Msukule kwa Kingereza?

    Zee la Hekima umeongea vizuri sana. Ila kuna ishu ndogo hujaizingatia. Msukule kama dhana, hakuna mwenye ubishi nayo. Lakini ukitafuta istilahi Msukule katika lugha ya Kiingereza, hapo ndipo tunaachana. Ni lazima ufahamu kuwa lugha ni sehemu muhimu wa UTAMADUNI wa watu. Na Utamaduni mmoja...
  7. Omonto wa-hene

    Natafuta mume 45-55

    Zed123 ninakuona sana humu lakini nashangaa hutaki nijibu maswali yangu. Pengine ili nikutafute kwa undani zaidi nahitaji kufahamu: Wewe ni mtu wa kabila gani? Wewe ni wa Mkoa gani? Ulisema una watoto, ni wangapi? Ila swali la mwisho nimefanya kama kuliongeza tu!!!
  8. Omonto wa-hene

    MIKESE: Mbunge wa Tarime Vijini, John Heche anasurika kwenye ajali

    Pole sana Mh. Heche! Mungu ni Mwema wakati wote!!!
  9. Omonto wa-hene

    Natafuta mume 45-55

    Zed123 nilikuuliza maswali yangu hukunijibu au tayari mtu keshaingia line????
  10. Omonto wa-hene

    Nini Maana ya Msukule kwa Kingereza?

    Ghost na Zombie si msamiati sahihi inayomaanisha maana sawa na Msamiati Msukule!!
  11. Omonto wa-hene

    Natafuta mume 45-55

    Nijibu haya yafuatayo: Wewe unaishi Mkoa gani? Wewe ni Kabila gani? Baada ya kupata majibu haya nitaomba mawasiliano kwa ufafanuzi zaidi
  12. Omonto wa-hene

    Serikali yachukua hisa asilimia 100 katika kiwanda cha General Tyre

    Tumezidi kubembelezana huku tukizidi kutopea topeni. Dalili za kukwamuka zinapojitokeza hatutakubali kelele zenu kwa mgongo wa demokrasia. You have exercised democracy for a couple of decades with zero change! Let's now try undava! Hutaki hama nchi!!!
  13. Omonto wa-hene

    Tafsiri ya 'Hapa Kazi Tu'

    Strictly business!!
  14. Omonto wa-hene

    Nasari agharamia harusi ya shemeji yake huku shule ya msingi alipozaliwa yafungwa kwa kukosa choo

    Watanganyika tuacheni UVIVU na fikra mgando. Hivi hata kujenga choo cha Shule tunangoja ufadhili?! Yaani nchi hii kusema kweli ni Sheddah! Wananchi kwa nguvu zetu tunashindwa kuchimba shimo na kutengeneza choo kwa ajili ya watoto wetu? Uvivu! Uvivu! Uvivu! Hata huyu huyu anayetoa lawama kwa...
  15. Omonto wa-hene

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Rwanda, Uganda and Kenya are all jealous of our virgin land and nothing more! Let them inaugurate their own federation. We can live without them but I know it costs too much when they think of life without Tanzania!!
  16. Omonto wa-hene

    Naombeni tafsiri ya Kiswahili ya neno 'Stationery'

    Neno stationery laweza kusemwa ni VIANDIKWA NA VIANDIKIO kwa Kiswahili Sanifu.
  17. Omonto wa-hene

    Bila Mbowe, Lipumba, Mbatia Slaa na Maalim Seif Kuachia Ngazi

    Hivi wewe na Mimi tuko chama kimoja rafiki?
  18. Omonto wa-hene

    Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

    Poleni sana Wana Arusha!
  19. Omonto wa-hene

    Msaada kitabu cha riwaya ya asali chungu

    Tafuta riwaya zenye maudhui mbadala. Si lazima hiyo best!!!
  20. Omonto wa-hene

    Unafiki wa Mbowe na vibaraka wake kwa watanzania

    Umeandika Kwa hisia sana Mchange. Wasi wasi wangu ni mmoja tu kwamba utawaziba vipi mdomo wenye akili wasijesema wazi wazi kuwa hisia hizo zinatokana na hasira zako za kufukuzwa toka CDM. Halafu mtu makini anaweza kujihoji: 'Kwa nini hukuonesha ujasiri na ufurukutwa huu wakati ule?' Tena...
Back
Top Bottom