Nilijiuliza sana kwanini vyuo vya Elimu ya Juu vilichelewa sana kufunguliwa Mwakangale Juu sikupata jibu, sasa ni wazi ucheleweshaji huo ulitokana na idadi ndogo ya wanafunzi ambao watapewa mkopo. Serikali iliogopa reaction ya wanafunzi wakati wa kampeni huku mgombea wa Ukawa akitaja moja ya...
Baada hoja ya Escrow akaunti kuwasilishwa bungeni na kamati ya PAC, wabunge wamepata nafasi ya kutoa maoni yao, Lkn kilichonisikitisha ni jinsi wachangia karibia wote kwa upande wa wanawake wameshindwa kabisa kujenga hoja na kuonyesha waliingia bungeni kwa kubwebwa. Namuomba Mhe Halima leo jioni...
Ni kweli kabisa jamaa wanaiba mchana kweupe, nimeweka kifurushi cha wiki kwa 5,000 nikawasiliana mara moja then kikaisha, ukipiga customer care hakuna majibu ya kuelekea. Anyway nimeamua kuwaweka pembeni kwasababu wao sio monopoly, sokoni kuna wengi, wanaangalia quick profit lkn itawa cost.
Imekuwa jambo la kawaida sasa kwa polisi wa ferry upande Magogoni kudharauliwa na kutukanwa na madereva wanaovunja sheria kwa kutokufuata foleni na kuchomekea wengine hasa nyakati za jioni.
Askari wanapotaka kuwachomoa pale wanapochomeka, wanashia kupewa lugha za kejeli na kudhalilisha...
Hii ina maana kama mbunge ataonekana kupiga kura ya wazi kupinga msimamo wa chama ktk kipengele Chochote cha katiba atashughulikiwa pia!
Kweli tuna safari ndefu ya kufika kwenye demokrasia ya kweli.
Wakati walimu wakidai serikali zaidi ya 80bl, madai yanayowafanya kukumbana na hali mbaya ya maisha. Pia hali ya ukata imeripotiwa katika taasisi mbalimbali za serikali, lakini chakushanga ni serikali hiyo hiyo imepanga kuwalipa wabunge wa bunge la katiba posho ya Tsh 700,000 kwa siku. Sasa...
Acha kuropoka, kama hujawahi kufika Dar au upo, basi usikilize porojo, nenda msasani ukaone Ward kubwa ya kisasa ya Wamama na Wtt pale CCBRT inayojengwa, hawa jamaa wanafanyakazi hawana mchezo na hizi hela wanazopewa
Sio sahihi, tembo anawindwa na kibali halali kutoka Idara ya Wanyama pori, lakini lazima awe dume mwenye jino lisilopungua uzito wa kilo 15 na urefu wa 1.5m
Wewe ndio mdaku, wao wameandika na kutoa ushahidi wa picha na kunukuu maneno ya Shigela, sasa badala ya kujibu kwa hoja unaropoka, ha ha haaa!!! Nafikiri hilo gazeti lazima leo liwekewe mikakati ya kulifuta maana limemuanika vibaya JK, Mwigulu na CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.