Search results

  1. Jemsi

    Ulaji wa Mafuta wa Subari impreza ninayomiliki

    Habari wakuu, samahani naomba msaada nina subaru impreza ya 2008 cc1490, 70,000km. Kwenye dashboard inaonyesha ulaji wa mafuta ni 8.6km/l na pia nikicalculate manually range inaangukia kwenye 8 kwa safari za mjini na highway, lakini wadau wenye haya magari wanasema ni 10km/l kwa mjini na...
  2. Jemsi

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    habari zenu wana forum, natumai m wazima. naomben mnipe mwanga kidogo. mke wangu mpaka sasa ana siku 15 hajapata hedhi, ameenda kupima mimba akaambiwa vipimo vinaonyesha hana ujauzito. nini tatizo hapo wakuu?
  3. Jemsi

    Laptop haiwaki (Black screen)

    sorry mkuu kwa kuingilia mada. nime hide folder kwenye desktop.naomba unisaidie jinsi ya kuliona tena.
  4. Jemsi

    Nahitaji msaada kwenye laptop

    ram ni 2gb .nimeiscan lakin nahisi hii antivitus sio nzima
  5. Jemsi

    Nahitaji msaada kwenye laptop

    mtandao ninaoutumia ni vodacom,na source ninayotumia ni opera na mozilla .zote zipo slow.
  6. Jemsi

    Nahitaji msaada kwenye laptop

    Habari zenu wana jukwaa, Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, naomba mwenye uelewa anisaidie. Nina PC nikiingia internet niki scroll page ina stack kama sekunde 10 ndio ina move up. Naomba mwenye ujuzi kwani nachukua muda sana kusoma habari zilizopo kwenye internet. Natanguliza shukrani
  7. Jemsi

    msaada juu ya screen ya ditel

    habari zenu wakuu. natumai nyote ni wazima. Nina tatizo kwenye simu yangu aina ya DITEL nikiiwasha inawaka lakin screen haionyeshi chochote.kinachoonekana ni mwanga kwa mbali. lakin nikigusa screen ninasikia kabisa ikisense.naomben mwenye ujuz anisaidie hakuna nilichokifanya ni simu imebadilika...
  8. Jemsi

    Help: Accounting packages

    habari zenu wakuu.kwa yeyote ambaye anajua kituo au mtu yeyote anayefundisha course ya accounting packages kwa arusha mjini naomba tuwasiliane. 0655963543. natanguliza shukrani kwenu
  9. Jemsi

    Tatizo la Keyboard kwenye Computer naomba msaada

    Natumai mu wazima wa afya. Tatizo lipo kwenye keyboard ya PC Nikibonyeza H ina type Y, na pia nikibonyeza Y ina type Y na namba zingine pia zina jam. H =Y Y=Y 1=Q Tatizo lipo wap wakubwa ? Asanteni
  10. Jemsi

    Msaada kwenye PC

    Inakataa ku add user mwingine sijui ni nini
  11. Jemsi

    Msaada kwenye PC

    Kwenye safe mode inakubali password ila sioni data zangu za kwenye desktop
  12. Jemsi

    Msaada kwenye PC

    Nimefanya hivyo ila nikiingiza password ule ujumbe unajirudia
  13. Jemsi

    Msaada kwenye PC

    Laptop acer
  14. Jemsi

    Msaada kwenye PC

    Window 7, hapo kwenye safe mode mimi ni mgeni sana kwenye IT naomba unielekeze
  15. Jemsi

    Msaada kwenye PC

    Bado inakataa ndugu
  16. Jemsi

    Msaada kwenye PC

    Nawasubiria
  17. Jemsi

    Msaada kwenye PC

    habari zenu wakuu, tatizo limetokea kwenye pc. nikiingiza password.unakuja ujumbe huu " THE USER PROFILE SERVICE FAILED THE LOGON. USER PROFILE CANNOT BE LOADED" nisaidien ndugu zangu.natanguliza shukrani
  18. Jemsi

    Msaada wa accounting packages

    wakuu habari zenu,poleni na majukumu naomba kwa yeyote anayejua kituo kinachofundishia accounting package Arusha- Arusha mjini. au kwa mwalimu yeyote anayefundisha hizo packages. asanteni
  19. Jemsi

    Jinsi ya kuondoa ujumbe wa "copy of window is not genuine" kwenye microsoft windows

    Chief, Richnigga, cc12, Gwangambo, Ombenichelsea, Chebi, Natokahapa, Adimu. nawashukuru sana kwa msaada wenu mzidi kubarikiwa. hatimae pc imerudi kwenye hali yake. baada ya ku install setup ya cc12.
Back
Top Bottom