Wakuu samahani
Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina
Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na usaliti alioufanya,
ikawa mchezo wangu ni ule wa kidronedake..je hili linaweza sababisha uchovu huu...
Huyu memba nampenda sana, mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+. Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama.
Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani, humu wanakupaparikia ikiwemo mimi, nmekusoma sana kimyakimya lakini sikati tamaa.
Sema utakacho dear...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.