Mbona usishauri wakaanza kufuta uraia wa wale unaoona hawana dhamira njema na nchi na wapo hapa hapa nchini, au mkipungua huko ughaibuni kazi za kubeba maboksi huko zitakuwa bwelele
Mheshimiwa, wakili msomi Tundu Lissu, vita kupigania rasilimali zetu ndio imeshaanza, kama mlivopigana tangu mwanzo na sasa unakili mliyoyapigania ndio haya yanagundulika sasa, kasubiri mikataba ya madini ije bungeni, na hiyo mingine kaiombee huko huko bungeni, watanzania wana akili ndio maana...
Ni wazi sasa vilio vya watanzania kuhusu rasilimali zao sasa kimepata mtu wa kuvisikiliza, haijalishi ni njia ipi JPM anatumia, ingawa kwangu naona yuko sahihi kabisa, ni lazima sasa wote tuungane, hata kama kuna makosa katika utekelezaji wa hatua zake, tuungane pamoja kurekebisha kasoro hizo na...
Hakuna wa kulaumiwa wala hakuna haja ya kupiga ramli, baada ya ripoti mbili kusomwa, tumepata pa kuanzia na vyombo husika viwajibike kama mheshimiwa Raisi alivyotoa maagizo, hizi vote casting zingefaa wakati tulikuwa na viongozi wasioweza kutoa maamuzi magumu, ambao wakati mwingine walitegemea...
Hiyo Review ingeendelea kwa muda gani? tangu 2013 ilikuwa haijamalizika leo unasema watu wameogopa kuendelea nayo kwa kumuogopa magufuli, JPM amereact correctly as head of state kumaliza hilo tatizo, JK alikuwa analemba bila sababu, wapo watu wengi tu wanaweza kuongoza TIC kama mshahara...
Shikamoo Magufuli, napenda sana haki lakini kwa muda huu weka pembeni kidogo hizi habari za right to be heard, natural justice na dhana zingine zote za aina hiyo, rudisha nidhamu kwanza, halafu watu wakikaa kwenye mstari warudishie haki zao, watanzania walizoezwa kudai haki pasipo kuwajibika...
Wasiliana na Perfect Infotech International Limited, wanazo power bank kwa ajili ya laptop na matumizi mengine, zina uwezo wa kujump-start gari iwapo ina matatizo ya betri. 0782906190
watu wakitoa leads za kufanyia uchunguzi tusiruke na majibu "chuki binafsi" au "walikuwa wapi kusema mapema", wote mnajua tulikotoka, ungesema kwa nani akusikilize, cha msingi viachwe vyombo husika vifanye uchunguzi, kama watu wako clean watakuwa cleared tu,
wa kujiongeza ni wale wanaobisha, si lazima hao kina mama wote walale kwenye kitanda kimoja kwa wakati mmoja, watoto watano kwenye kitanda kimoja, kila mama anahudumia mtoto wake kwa wakati wake kwenye hicho kitanda kimoja, hapo ni sawa na kusema kitanda kimoja kina mama watano
Zungumza direct na Bulembo, Nape anayetaka bao la mkono, Mkapa anayetumia lugha za kuchukiza na timu yao, utatusaidia kuepusha balaa mkuu, kauli mbaya zinajulikana zinatoka wapi, ila wapinzani hata wakisema mkae mita 200 kwa mujibu wa sheria wanaambia wanataka kuleta fujo, mmeshaambiwa matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.