Search results

  1. M

    FIESTA: Hii haikubaliki!

    Mkuu inaelekea usikilizi radio j d alishaongea vyote
  2. M

    FIESTA: Hii haikubaliki!

    Mtafute Jay d au Mr 11
  3. M

    FIESTA: Hii haikubaliki!

    Kwahiyo umefurahi kupotea kwao kwa kugoma kunyonywa? IPO siku walichokidai Leo kitawafaidisha wajukuu zao
  4. M

    Nadhani wakati wangu kujiengua CHADEMA na kwenda CCM umefika

    Ng'ombe waliokatwa mkia wanaongezeka
  5. M

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    Wakimaliza kilimo wawawekee chereko alafu taarabu mkimaliza mlale eti na wewe mkulima
  6. M

    Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Tatizo hapo mshindi aliepatikana angeshinda flani aaa ingekuwa sawa wala asinge kamatwa
  7. M

    Edward Ngoyai Lowassa anavuruga amani ya nchi

    Jiwe walilolikataa wahashi limekuwa.......
  8. M

    Vyama pinzani vijiandae leo ndio mwanzo wa anguko lao.

    Hamjafata Sera za chama mmemfata zito mtarudi kulekule zidumu fikra za mwenye kiti
  9. M

    Mie huwa simwelewi kabisa huyu anayeitwa Nape Nnauye, sijui wenzangu mnamuelewa?

    Nafikiri anamalizia muda wake siamin kama atapata nafasi yoyote katika chama chake
  10. M

    Mwigulu: Naombwa nigombee urais 2015

    Mwigulu na huu mtandao wa kijamii ataufuta sijui tutapata wapi habari, nawasiwasi magazeti yatarudi yalee ya kipindi kile uhuru na mzalendo
  11. M

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Eti unamtusi nyerere khaaaa kwahiyo kusema mabaya yake ni kumtusi?
  12. M

    Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah

    umetisha mkuu,dini tumeletewa tu
  13. M

    Katiba Mpya: Clouds FM Wachochezi!

    Watafanya nn jamani na wanataka kuishi vizuri mjin? Yani hao jamaa kila kitu wanajua wao na wanacho amini wao ndo wanataka watu wote tukikubali, kwao wao jd ni mbaya basi na ss wote tukubali hvyo
  14. M

    Mbowe, Ndugai na Zitto

    Ipo siku unafki wa zito utakuwa hadharani
  15. M

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    chama sio mchezo jamani, Zito sianauhakika anawafuasi WA kutosha atoke akaanzishe chake ili atimize ndoto zake mana hizo ni ndoto tu anazotaka kutimiza
Back
Top Bottom