Search results

  1. P

    Tunafundisha Tuition , Tunapatikana Tanzania nzima.

    Habari za hasubuhi ndugu wazazi pamoja na walezi.Kama una mtoto wako ambaye ni mzito au hata kama sio mzito lakini unahitaji asome (Home schooling au Home Tuition) huduma hyo inapatikana Tanzania nzima. Kwanini RJ Home Tuition services. 1.Tunasaidia wanafunzi waliochelewa kuzungumza na wale...
  2. P

    Nahitaji mtu anayeweza nisaiida kuaaply PSPTB membership na CPSP

    Wakuu habari zenu ,naomba msaada wa mtu ambaye anauhakika na anaweza kufanya hii kazi .Naomba kama Yuko au ni wewe mwenyewe unicheki kupitia whatsup namba 0743567159.
  3. P

    Korean _Kiswahili translator anahitajika

    Anahitajika mtu anayeweza vizuri kutafsiri lugha ya kikorea , kazi itakuepo kuanzia kesho hasubuhi .Mshahara ni makubaliano. Naomba mnisaidie kuniunganisha na muhusika kwa namba +255 734 992 298.Ahsante
  4. P

    Tunapika chakula kwa oda, tunapatikana Kigamboni

    Habari za leo ndugu zangu, kwa yeyote ambaye atahitaji chai au chakula kwa ajili ya staff, saiti members, sherehe ndogo, mtu binafsi, kampuni, asisite kuwasiliana na sisi +255758131425. Tunapika chakula unachokihitaji, tunapack vizuri tunakuletea mpaka mlangoni, kama ni kampuni unaletewa...
  5. P

    Watu watatu wanaosema ukweli

    Habari ,Leo nimekuletea watu watatu ambao mara nyingi wanchosema Huwa kina ukweli ndani yake 1.Mtu Mlevi. Mtu Mlevi mara nyingi vitu ambavyo anavisema anakuaga anamaanisha sana vitu hivyo na wengine uwanywea watu pombe Ili Kuondoa aibu pindi wanavyotoa Siri za moyoni 2. Mtoto mdogo chini ya...
  6. P

    Nahitaji mwalimu wa kunifundisha Spanish

    Habari wanajukwaa pendwa ndani na nje yanchi!Tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi kubwa ya Maisha. Naombeni kama unamfahamu mwalimu au mtu yeyote ambaye anaweza kunifundisha Spanish language uniunganishe nae kwa namba zifuatazo 0743567159(what's up tu ). Mimi mwanafunzi wake...
Back
Top Bottom