Search results

  1. K

    BASATA lawashukia wavaa nusu uchi wa bongo movies na wacheza shoo za bend!

    nao mkuu wamezidi tangu walipoambiwa wazuri basi imekuwa tatizo,sasa wanatamani hat kwenda kanisani waende uchi,kwani kuwa superstar ni lzm uonyeshe nyeti zako?na hiyo concept wanayo sana basata ya kwamba superstar wa kike bila kuwa uchi bd hakijaeleweka sasa wanaloloma nini
  2. K

    Eti ukihamia mbezi lazima uibiwe?

    hakuna polisi jamii? Aka ulinzi shirikishi......
  3. K

    Mtindo wa kutunisha na kuacha sehemu ya MATITI wazi!

    dada zetu wanaiga tabia za kimagharibi,lkn wanaiga visivyoigika.kwa nini wasiige mbinu za kupata hela ili kujikwamua kimaisha waachane na biashara ya kujiuza,shame on them........
  4. K

    Kashifa ya mabilioni kufichwa uswisi;watanzani 27 wahusishwa

    hivi wanajamii wenzangu pesa hizo kama zingekuwa kwenye mabenki yetu ya hapa tanzania si tungeweza hata kukopeshwa sisi tukajikwamua na umaskini huu,sasa kule walikoziweka zinafanya kazi gani? Wawe na huruma na sisi watanzania wenzao maskini..........
  5. K

    hodiiiiii!

    ukisikiaaaa kariiibuuuu ingiaaaaaaaaa......you are warmly welcome......
  6. K

    Papa msofe atapeli kiwanja mbezi beach;atumia polisi wa kawe kuhalalisha

    kama ni kweli jogoo lake haliwiki basi amshukuru mungu,make cdhani kama angenusurika na hilo gonjwa,hv hy papaa msofe ana uraia wa wapi watanzania tuwe macho na watu kama hao wanafanya ujambazi kwenye nchi zao wanakimbilia kwetu tuwe makini kwa hilo
  7. K

  8. K

    Je unajua hii habari kuhusu jiji la dar

    jiji la dar halitakaa liwe safi hata sikumoja,ukiangalia ujengaji nyumba huko uswahilini ni balaa kwelikweli labda mipango miji waingilie kati,yaani utakuta mtu nyumba yake upande wa sebuleni kwa jirani yake ndio choo tena cha shimo,sehemu nyingine unakuta jirani yako ambaye yuko karibu na...
  9. K

  10. K

    HAYA ndiyo MANENO hatari TANZANIA...

    sasa imekuwa kama misemo mbalimbali ya kiswahili ndio ya kujitetea pale tunapokuwa tumebanwa,lkn tubadilike twende na wakati hizo zama zimeshapita,tusijejikuta tunaishia kubaya.Mungu ibariki tanzania
  11. K

    HAYA ndiyo MANENO hatari TANZANIA...

    wakishaona wameshindwa na hawana jinsi kutatua tatizo,ndio wanabun misemo mbalimbali ya kiswahili
  12. K

    wadada kuweni makini mbinu mpya ya wezi mjini

    unadhani walivyosema darasa la saba wamefeulu wote kwenda kidato cha kwanza ila hawajui kuandika ni uongo?basi ndio hayo....
  13. K

    Kwa Watanzania wote !!

    Hapa bwana tunajivunia kuitwa watanzania,tunajivumilia pia kuitwa wadanganyika kwa sababu tumeshadanganywa mengi especially na hao wabunge wetu a.k.a wazee wa posho,kila ahadi nyiiiingi maendeleo hkn,halafu wanasema maisha bora kwa kila mtanzania wizi mtupu......
  14. K

    Baada ya JK kuridhia kuvunja baraza la Mawaziri ni nani kati ya hawa wanaweza kurudishwa?

    yaani mkuu hapo tikienda kwenye haki kabisa anayestahili kurudishwa kwenye bbaraza ni mmoja tu naye ni dr pombe magufuli,lkn baba mwanaasha ninavyomjua mabest zake mhhh lzm atawapa kipaumbele,ukizingati mambo fulani ya ulaji......
  15. K

    Ni vigezo gani JK huvitumia kuliteua balaza lake la mawaziri?

    lazima uwe mhuni muhuni kama adm malima,uwe na majibu ya dry kama ya mwantumu mahiza,poa uwe mwongo mongo kama bat burian,na pia uwe fisadi pia....
  16. K

    Ridhiwani Kikwete anatajwa kufadhili manunuzi ya gari la Lulu !!!

    eeee!!!haka katoto kametokea kupendwa kweli na freemassons teh teh teh........
  17. K

    sabasaba ya mwakajana na wizara ya mambo ya ndani...

    wapendwa wanajf wote poleni mihangaiko ya huku na kule ya kutwa nzima,ktk kutafuta kariziki.sharehe sabasaba mwaka uliopita zllipendeza kwa kweli tuliienjoy hasa kwenye mabanda mbalimbali ya maonyesho kwa bidhaa,mbuga za wanyama pia shushuli mbalimbali kiofisi zinavyoendeshwa.basi juzi ktk...
  18. K

  19. K

    Waziri akiri kununua nyumba ya mabilioni!

    sasa nimeendalea kupata mwanga kwa nini kwanini baba riz kaweka washikaji zake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi,hy ni sababu wapate ulaji kwa urahisi.watu wamejenga kwenye open space mkuu kakaa kimya tuu,raia wananyang'anywa ardhi na kupewa wageni baba riz anatabasamu tu,watanzania...
  20. K

    Chonde chonde Kina Mama.

    mmh mkuu hayo madawa unayozungumzia ni yapi?ya uzazi wa mpango, ya kulevya,ya kuongeza makal*** au mkorogo,umetuacha njia panda boss
Back
Top Bottom