Search results

  1. Tayana-wog

    Ubalozi wa Cameroon nchini Tanzania uko wapi?

    Habari wakuu! Kwa yoyote anaejua,naomba kujuzwa,Cameroon Embassy ipo eneo gani Dar es salaam(location). Kama una details zaidi,kuhusu visa fees,requirements...itanisaidia zaidi!shukrani[emoji122][emoji122][emoji122] Nimejitahidi ku - Google lakini hakuna information zozote zilizonisaidia...
  2. Tayana-wog

    Najiuliza kwanini nilisoma. Miaka 4 sasa sijawahi kupata ajira

    Habari za hapa wakuu, Ni miaka minne sasa tangu nimemaliza elimu yangu ya chuo na sijawahi kufanikiwa kupata ajira ukizingatia hali halisi ilivyo sasahivi kuhusu soko la ajira! Wapo wanaonishangaa kuwa kwa hii course ya Marketing inakuaje sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo hii wakidai kuwa ni...
  3. Tayana-wog

    happy bday mokoyo

    I salute u all!!!? back to topic jamani leo nilikua busy na babe wangu kwa muda, hatukutaka usumbufu kwa namna moja au nyinngine, ukizingatia leo cku yake muhim ya kumbukumbu ya kuzaliwa. mmu members hatujawaacha nyuma.karibuni kesho ndo party happy bday Mokoyo
  4. Tayana-wog

    Sijui nitatokaje hapa

    Yaani siamini kama nimependa tena jamani, i real love him to the extent siwezi elezea tatizo langu nitatokaje hapa. I have tried but nashindwa, najikuta naumia coz i know he is not there for me nishapungua 1kg jamani coz nashindwa hata kula vizuri. NB: he is just a friend.
  5. Tayana-wog

    msaada:TTCL vacancy deadline

    habari wana jf! Naomba anaejua deadline ya nafasi za kazi zilizotangazwa TTCL. Kwa yyte mwny detail
  6. Tayana-wog

    Mwili kutoa majimaji (hasa mikononi na miguuni)

    Hodi, habari wanajamvi!! Naomba msaada juu ya hili! Rafiki yangu ana tatizo la kutoka majimaji (yaani sio jasho la kawaida)mikononi na miguuni tu! Kiasi kwamba hata akilala anatumia feni (Note, anaishi kusini)na mikononi hawezi hata kukushika dakika moja kashalowa! Tatizo ni nini,au ni ugonjwa?
  7. Tayana-wog

    msaada pls

    habari wana jf......nimebahatika kuitwa kwenye interview ya bank,naomba ushauri kwa wazoefu general qns ni zipi?note:cjawahi attend interview yoyote,taaluma yangu ni marketing.
Back
Top Bottom