Search results

  1. luhala

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Another piece of dirty CCM propagandist rhetoric! Agree or not, Lowassa is the coming President and Commander in Chief. It is the Peoples Power that is going to remove the junk CCM rule.
  2. luhala

    TANZIA: Waziri Membe amefiwa na kaka yake mkubwa

    RIP Mungu awape subira wafiwa!
  3. luhala

    Nimeikubali UKAWA kwa kweli inatisha!

    Alikuwa akilinda heshima ya serikali ya rafiki yake! Hata kina Mwakyembe walisema baadhi ya ukweli uliokuwa kwenye uchunguzi ule ulihifadhiwa maana kama ungeanikwa ungesababisha serikali nzima kianguka! Umesahau?
  4. luhala

    Wema arudi Singida kushindana na Tundu Lissu

    Bila shaka kapata bwana wa kumkuna kule na hana kazi ya kufanya hapa Dar ni bora akafanye umalaya. Tundu Lisu si wa kushindana na mawakala wa genge la vibakauchumi hao toka CCM.
  5. luhala

    NSSF ipo taabani kifedha

    Siyo kazi yetu kumwambia Mbowe kama mlimkopesha ni yenu na mnatakiwa kushtakiwa na kuwajibishwa kwa maamuzi ya kijinga iwe mmemkopesha Mbowe, Lipumba Mbatia na hata Pinda!
  6. luhala

    Unyama na ukatili wa Waarabu wa Oman kwa wafanyakazi weusi wa ndani ya nyumba (Housemaids)

    Serikali ipi? Hii hii ya wala rushwa au nyingine? Kwa hii serikali yetu "sikivu" ufuatiliaji wa hii kesi utawanufaisha wala rushwa hawa na kuwaacha wazazi solemba! Wakirudi tunaweza ambiwa aliteleza kwenye ngazi akafa! Kwa kifupi waarabu wana kiburi, dharau, wabaguzi wa kutupwa hata kwa waislamu...
  7. luhala

    Lowassa kujibu maswali magumu Jumatatu 25.5.2015

    Rushwa nyingine mnazohongwa na jambazi hili zinawadhalilisha. Ona sasa umeandika maneno kibao ambayo hayahitaji akili ya juu sana kujua ni ya kishabiki au ya kupotosha. Haya, tutajie hicho kikao cha waliokuwa Tume ya Richmond wrote kilichoazimia eti Lowassa hana hatia na "wanamsapoti" kilikuwa...
  8. luhala

    Jengo La Yanga Linazama maji Waomba msaada Msimbazi

    Wanalitunza kwa mhindi yule mjanjamjanja mkwepa kodi!
  9. luhala

    Shiling ya enzi hizo

    Tatizo jingine linaloweza kuua kabisa thamani ya sarafu yetu ni ufisadi uliopindukia. Si vigumu kujua kwamba ukimwaga hela yetu ya madafu mitaani kwa mabilioni kadhaa thamani ya fedha itashuka, thamani ya fedha za kigeni zitapanda na maisha kuongezeka ugumu. Hebu tafakari ni mara ngapi kumetokea...
  10. luhala

    Kanisa la Askofu Gwajima liondolewe haraka viwanja vya Serikali Kawe

    Ni mlaanifu; mtumwa wa shetani tena Lucifer! Yesu alisema mwenye kujikweza atashushwa! Asubiri kuteremshwa! Hana adabu kusema aliyosema hata kama Pengo alikosea. Pengo ni mkubwa kwake kwa kila hali, ki umri, kiakili, kielimu na busara! Lile sakata lake na Mbasha liliisha?
  11. luhala

    Mwizi wa gari akamatwa Kimara

    Mi pia siafiki kuwaua watuhumiwa lakini tatizo ni vyombo vinavyosimamia kutoa haki ikiwa ni pamoja na Polisi na Mahakama zinazowakatisha watu tamaa kwa kuwageuza wahalifu na waathirika miradi ya kujitajirishia! Mhalifu anakamatwa na vielelezo vyoote akishafikishwa Polisi anatoa rushwa na...
  12. luhala

    Tanzanian Seabird Seeker, (ISR)

    To whom is this information important? Tanzania? I don't know your nationality but it's never reasonable to reveal such classified information to the public. I log off.
  13. luhala

    Kozi ya Staff Cardet jeshini! Nini hufundishwa huko?

    Kwa kuanzia tu hakuna kozi kama hiyo katika JWTZ labda kama ulikuwa unamaanisha Officer Cadet. Hicho ndiyo cheo cha kwanza kabisa katika Jeshi lolote ikiwa ni pamoja na JWTZ letu ila ni cheo anachopewa mwanafunzi wa ngazi ya uafisa ambacho ni cha juu kuliko vyeo vyote visivyo vya kamisheni...
  14. luhala

    Is there Ebola in Tanzania?

    There's a trending tweet that on the presence of one confirmed Ebola case in Bukoba. Can authoritative members within our JF authenticate this information? " A tweet from one marwaj7: reads"A confirmed Ebola patient is quarantined at Mugana Hosp in Kagera region. Gov.Must act to contain...
  15. luhala

    Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Mtibwa Vs JKU; Mnyama VS Polisi Zanzibar -Live Update

    Ningekushangaa kama ungewapenda vidume wanaokuzunguuka mbuyu kila mnapokutana! Poleni Yanga! Mtaipenda Simba tu!
  16. luhala

    Kwanini Wananchi walimkataa na watamkataa Slaa

    Hiyo ndiyo propaganda mliyojifunza uchina, Korea au Afganistan? Ndiyo hiyo ya Oooh "tumepata asilimia 80 katika chaguzi za serikali za mitaa" wakati watanzania si wajinga kama mlivyo, wamejionea wenyewe tokea Ruvuma hadi Bukoba, Mara, hadi Kilimanjaro hakuna kijiji ambacho CCM hamjaandika...
  17. luhala

    Historia ya Inspekta mkuu wa polisi (IGP) tokea tupate Uhuru

    Natepe hakuwa IGP, alikuwa Waziri wa mambo ya ndani.
  18. luhala

    PAC ilivyowajaza hasira wananchi

    Muhongo et al at work! Shame to you all!
  19. luhala

    Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Bila shaka wewe ni Mtani wetu wa jadi! Asanteni kwa kutupiga madongo lakini kumbuka Dar siku hizi Wasukuma, Wanyamwezi, Wasumbwa na watwana wengine wako kibao! Waliokimbiakimbia majuzi ni Wasukuma na Wanyamwezi wenyewe tumestarehe Kimanzichana
Back
Top Bottom