Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili tuu tuungane.
Ikumbukwe baada ya muungano Tanganyika ikafa, Zanzibar yenyewe ipo, Mtanganyika...
Katika vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania ikiwemo hata CCM yenyewe nivigumu kusikia kingozi au mwanachama akikosoa mwenendo wa chama au kiongozi wachama chake na asijikute katika wakati mgumu isipokua Chadema.
kama unaukalibu na Poul Makonda muulize, Atakwambia yaliomkuta baada ya kutishia...
Katika mechi ya Klabu bingwa Ulaya maarufu kama UEFA, iliyo chezwa leo tar 10/4/2024 Klabu ya Barcelona imeishangaza PSG Kama si Dunia Kwa ujumla.
Hii Inathibitishwa hata na wataalamu wa soka wenyewe, ambao kabla ya mchezo huo iliwapa PSG %49 ya kushinda huku Barcelona wakipewa %26.
Kikubwa...
Ungekua unafuatilia mikutanao yao sawasawa usingedhani kua chadema hawana hakili, yani wewe tatizo lako halieleweki kifupi nikua kila mkutano wa chadema kwasasa wanapinga katiba ya sasa lakini pia wanajenga hoja kwa kuchambua baadhi ya vipengele vilivyomo kwenye katiba hii kua havifai sasa...
Halafu nimeshangaa kwanini maandamano hayapo live kama Dar au ndo wandishi walilambiishwa pesa, maana hadi waliwaandaa bodaboda nakuwahoji maswali waliyojibu kama walivyoelekezwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.